Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 77
- 271
KAZI ANAZOFANYA MAKONDA, WAZALENDO TUWE TUKIMUOMBEA SANA,
Kila nikitazama ujasli na weredi wa Mh Paul Makonda napata faraja kubwa sana, nimefurahishwa na kauli yake akisema hatoyumbishwa, wahuni wanaomyumbisha ni kama wanambembeleza akiwa usingizini au akiwa kwenye chumba cha masage.
Iko hivi
1. Huu si muda wa kuwabembeleza watu wanaolipwa kwa kodi zetu, ukiwa una dhamana ya uongozi au mtumishi tukikuuliza mali zetu zipo wapi tujibu usitutishe wala usijibebishe
2. Ukishindwa kazi kaa pembeni tanzania kuna graduate wengi wanamudu hiyo nafasi
3. Muda wa kutishiana si sasa, mungu amekuwa akijidhihilisha mno
4. Wezi na wavivu mnapokusanyana kumpinga makonda na sisi wengine tunawaona
5. Tuache majungu na uvivu kwenye ofisi za uma, watu wanaenda kasi wanataka huduma
Makonda piga kazi, tunaokuelewa tupo na wezi na wavivu wapo ndio dunia, hutokufa mpaka muda ufike kwa sababu unafanya kazi ya mungu
Ndimi Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
JITU LA MIRABA