Paul Makonda ni nani pale WCB?

Paul Makonda ni nani pale WCB?

Ninapata mashaka na capability yake ya kiungozi, anajinasibu kama mtetezi wa sanaa lakini upande wa pili kuna harufu mbaya ambayo nimeanza kuihisi, Nyie mfatilien tu mtajua nyendo zake, kwa sasa hana tofauti na babu tale au salam, Meneja si meneja yani haeleweki, Ikitokea WCB wamefanya jambo yupo so quickly kutoka kwenye media na kutoa back up either kupongeza au kusema neno juu ya hilo, Fatilien page zake kwny social networks mtaelewa hiki kitu, Anataka kutuaminisha kuwa mafanikio yeyote ya wcb ndio mziki kukua ila mafanikio ya wasanii wengine haoneshi response yeyote, Sasa hebu atuieleze yeye ni kiongoz wa kitaifa aliyepo kwa ajili ya sanaa na wasanii wote au yupo pale kwa ajili ya WCB?
blaZa leo nimeona WCB wamemkabidhi madawati kibao makonda. halafu ile tv yetu inaanza kuruka hewani lini na itapatikana king'amuz gani.?
 
Diamond anapenda kutafuta kiki. Eti leo kamkabidhi Makonda madawati 600. Madawati yote hayo kama sio kiki ni nini?
 
Anakera sana!! Anapenda sana kiki..
Madawati yote hayo utazani sifa
Jamani acheni chuki.akinunua meno mnaponda,akinunua gari mnaponda,sasa kawanunulia watoto wetu madawati ili wasikae chini bado mnaponda mnataka nini basi??penye zuri sifieni hata kimoyomoyo au kama haukufurahishwa pita kimya kimya. Hakuna atakaekumiss wala kukuulizia
 
Jamani acheni chuki.akinunua meno mnaponda,akinunua gari mnaponda,sasa kawanunulia watoto wetu madawati ili wasikae chini bado mnaponda mnataka nini basi??penye zuri sifieni hata kimoyomoyo au kama haukufurahishwa pita kimya kimya. Hakuna atakaekumiss wala kukuulizia
Anaboa bana!! Yani kila siku tu yeye anafanya wonders, mara atoe nyimbo kali, mara atoe video kali, mara asainishe wasanii wakubwa kwenye lebo yake ya mwendo kasi.. Hiyo haitoshi bado anatoa madawati mengi hivi..
Sasa yeye anafanya wonders tu kila siku sisi tutapata wapi sasa point za kumponda!! Anaboa..
 
Back
Top Bottom