Paul Makonda ni nani pale WCB?

Paul Makonda ni nani pale WCB?

Nadhani hakuja haja ya kufichaficha na kutokwa povu kubwa, ungesema tu "WEWE KAMA TEAM KIBA IMEKUUMA MAKONDA KUWA MLEZI WA WCB"

muulize mfalme wao alishika fagio siku ya usafiiiiiiiiiiii. Kama hamshirikiani na makonda usitegemee yy kushirikiana na team failure!!

WASAFI WALICONFIRM KUWA NI WAPENDA USAFI SIKU YA WASAFI ACHA NAYE MPENDA USAFI PAUL MAKONDA AWAPE SUPPORT
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovu vepee makonda n mlezi wa w.c.b kutokana na kujituma n kujitolea kwa jamii mfano ni cku ya usafi w.c.b tulijitokeza kulisafisha jiji kwa moyo mmoja vipi nyie timu kibakuli n alisasema atatoa support kwa wasanii waliomsupport cku ya usafi c wanaom support wakickia kuna sherere tu
maneno kama "vepeee " au "sio kwa maneno hayo" au xaxa badala ya sasa hutumiwa na wanawake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovu vepee makonda n mlezi wa w.c.b kutokana na kujituma n kujitolea kwa jamii mfano ni cku ya usafi w.c.b tulijitokeza kulisafisha jiji kwa moyo mmoja vipi nyie timu kibakuli n alisasema atatoa support kwa wasanii waliomsupport cku ya usafi c wanaom support wakickia kuna sherere tu
Mlijitokeza?????? Duh wabongo kwa kupenda kujijumuisha noma.
 
Nikiwa nafikiria jibu ingieni humu mpige kura tulete tuzo ya BET nchini kupitia Diamond

Best International Act: Africa
aea9eadfe2ac1623ca9499d6d8379a0f.jpg

Mie tayari mkuu.
 
Ninapata mashaka na capability yake ya kiungozi, anajinasibu kama mtetezi wa sanaa lakini upande wa pili kuna harufu mbaya ambayo nimeanza kuihisi, Nyie mfatilien tu mtajua nyendo zake, kwa sasa hana tofauti na babu tale au salam, Meneja si meneja yani haeleweki, Ikitokea WCB wamefanya jambo yupo so quickly kutoka kwenye media na kutoa back up either kupongeza au kusema neno juu ya hilo, Fatilien page zake kwny social networks mtaelewa hiki kitu, Anataka kutuaminisha kuwa mafanikio yeyote ya wcb ndio mziki kukua ila mafanikio ya wasanii wengine haoneshi response yeyote, Sasa hebu atuieleze yeye ni kiongoz wa kitaifa aliyepo kwa ajili ya sanaa na wasanii wote au yupo pale kwa ajili ya WCB?
Timu kibakuli mapovu ya nin wakati nyinyi kweny mishe za makonda mnajifany wajuaji
 
Kwani hao akina kiba na diamond wametoboaje kwani lazima wajikombe kwa viongozi ndio mambo yao yaende kama hela wanazo kishinda hao viongozi wajikombe kutafuta nini
 
Si alisema wasanii ambao hawajajitokeza kifagia hatowatambua na wala wasijemgingea ofisini kwake.
 
Makonda ataua vijana wengine njaa. .hii haijakaa poa sana! ..ameanza kushare hata na vijana. ..ilikuwa kajala now kuna vitetesi anapumzika kwa kidoti
 
Makonda ataua vijana wengine njaa. .hii haijakaa poa sana! ..ameanza kushare hata na vijana. ..ilikuwa kajala now kuna vitetesi anapumzika kwa kidoti
Hivi kumbe makonda ni Mzee? Kwa sababu ni mkuu wa mkoa kawa Mzee tayari na si size ya kajala wala kidoti? Aiseeeeeee!!!
 
Umeskia znatolewa na KTM ndo akamwagiliwe ataenda na kurud pua chin

Hakuna tabu kwa hilo kwani kila aliyekuwa nominetedi anachukua tuzo bali furaha ni anazidi kutambulika na kujulikana na kupata mashabiki zaidi duniani...so piga tu kura bila kujali matokeo.
 
Hakuna mbaya aki waunga mkono,sio WCB tuu msanii yoyote kwani hatakiwi awe upande wowote akiwa kama kiongozo.
 
Back
Top Bottom