Paul Makonda ni nani pale WCB?

blaZa leo nimeona WCB wamemkabidhi madawati kibao makonda. halafu ile tv yetu inaanza kuruka hewani lini na itapatikana king'amuz gani.?
 
Diamond anapenda kutafuta kiki. Eti leo kamkabidhi Makonda madawati 600. Madawati yote hayo kama sio kiki ni nini?
 
Anakera sana!! Anapenda sana kiki..
Madawati yote hayo utazani sifa
Jamani acheni chuki.akinunua meno mnaponda,akinunua gari mnaponda,sasa kawanunulia watoto wetu madawati ili wasikae chini bado mnaponda mnataka nini basi??penye zuri sifieni hata kimoyomoyo au kama haukufurahishwa pita kimya kimya. Hakuna atakaekumiss wala kukuulizia
 
Anaboa bana!! Yani kila siku tu yeye anafanya wonders, mara atoe nyimbo kali, mara atoe video kali, mara asainishe wasanii wakubwa kwenye lebo yake ya mwendo kasi.. Hiyo haitoshi bado anatoa madawati mengi hivi..
Sasa yeye anafanya wonders tu kila siku sisi tutapata wapi sasa point za kumponda!! Anaboa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…