Paul Makonda: Polisi ukiona gari jipya piga saluti. Simamisheni mengine yanayoleta Pollution

Paul Makonda: Polisi ukiona gari jipya piga saluti. Simamisheni mengine yanayoleta Pollution

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
221
Reaction score
542
Pamoja na polisi kuwa mnafanya kazi yenu vizuri ila Kuna wakati mnasumbua sana hasa mkiona magari mapya, na lengo la usumbufu wenu ni kuombaomba ela. Nadhani kwa Arusha inabidi mtupumzishe kidogo tuendeshe magari yetu kwa raha.
 
View attachment 3188452
Anawapiga madongo TRA na Polisi kwa lile tukio lililotokea Bunju
 
Na huyu ni Mtumishi wa UMMA ? Na anajua UMMA ni kina nani na percent kubwa wapo katika category ya Mafukara let alone middle Income ? Badala ya kuja na mawazo ya kudumisha public transport wanaleta story za kipuuzi...

Hawa watu wapo out of Touch ndio walewale watu wanaambiwa wananchi hawana maji hata ya kunywa wanasema waambie wanye mvinyo (Wine)
 
Back
Top Bottom