Kwa hakika katika teuzi zilizo turufu na ambazo Mh Rais ameziweza ni kumrudisha Mwamba ulingoni.
Kwa sie tunaojua kusoma alama za nyakati lilikuwa ni swala la muda tu.
Ni kitizama mijadara inayoendelea, gumzo kubwa limekuwa uteuzi wa Mwamba huyu. Hii dhahiri pasi shahiri kuwa Mh Raisi alichelewa sana tena sana.
Sina shaka na utendaji, uthubutu na utayari wa kupokea matokeo ya aina yeyote Ile ktk maamuzi yake.
Niseme tu hongera LE COMMANDANT na hongera kwa CCM.