Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.

Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.

Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?

Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.

Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
 
Upo sahihi Mkuu.

Asiishie kutoa matamko tu, bali wawasimamishe watumishi wazembe.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.

Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.

Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?

Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.

Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
Kwa mwendo huu wa kutegemea matatizo yako ya kiuchumi yatatuliwe kwa ziara ya mwnasiasa, utasubili sana, kama ziara za kisiasa, zinatatatua matatizo ya kiuchumi, kwanini wanasiasa, waanaiba, ili kujipa ukwasi?
 
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.

Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.

Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?

Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.

Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
MJINGA NA MPUMBAVU NI ALIYEANDIKA HUU UZI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.

Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.

Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?

Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.

Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.

..tangu Bashite afanye ziara kanda ya ziwa hali ya uchumi ktk maeneo aliyotembelea imeboreka kwa kiasi gani?
 
Hakuna lolote, kwamba baraza la mawaziri halina watu wenye akili timamu? kwanini lisivunjwe?
 
Kumbe bado kuna kundi la wapumbavu ndani ya nchi hii wanaona sifa na fahari kuitwa wanyonge ?

Kama ni hivyo basi bora arudi mkoloni Mweupe kufuta fikra hiyo ya kipumbavu.
 
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.

Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.

Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?

Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.

Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
vuta subra kidogo anakuja
 
Unaifahamu maana ya Mnyonge kwa Tafsiri ya kiswahili ?
Yes,
Ni mtu anaechochewa na mihemko kufanya maandamano haramu halafu anavyunjwa taya au mguu kwenye purukushani halafu waitisha maandamano wanamtelekeza na kukwea pipa kuelekea ng'ambo..
 
..Na wanaovunja waandamanaji / wanyonge taya na mguu wanawajibika kwa nani, na kwa namna gani?
 
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.

Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.

Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?

Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.

Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
Kayngay
 
Kumbe bado kuna kundi la wapumbavu ndani ya nchi hii wanaona sifa na fahari kuitwa wanyonge ?

Kama ni hivyo basi bora arudi mkoloni Mweupe kufuta fikra hiyo ya kipumbavu.
MTU ANAKUBALI KUITWA MNYONGE

HIYO NI SAWA NA KUKALIA KIJITI

ova
 
Back
Top Bottom