Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa mwendo huu wa kutegemea matatizo yako ya kiuchumi yatatuliwe kwa ziara ya mwnasiasa, utasubili sana, kama ziara za kisiasa, zinatatatua matatizo ya kiuchumi, kwanini wanasiasa, waanaiba, ili kujipa ukwasi?Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
MJINGA NA MPUMBAVU NI ALIYEANDIKA HUU UZIMjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
Ndiyo imezidi kuwa mbaya..tangu Bashite afanye ziara kanda ya ziwa hali ya uchumi ktk maeneo aliyotembelea imeboreka kwa kiasi gani?
vuta subra kidogo anakujaMjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
Yes,Unaifahamu maana ya Mnyonge kwa Tafsiri ya kiswahili ?
Yes,
Ni mtu anaechochewa na mihemko kufanya maandamano haramu halafu anavyunjwa taya au mguu kwenye purukushani halafu waitisha maandamano wanamtelekeza na kukwea pipa kuelekea ng'ambo..
KayngayMjinga na mpumbavu ndio atapinga hili.
Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo.
Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe?
Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero.
Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua iwe mvua. Mawziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wazembe lazima wajambishwe.
MTU ANAKUBALI KUITWA MNYONGEKumbe bado kuna kundi la wapumbavu ndani ya nchi hii wanaona sifa na fahari kuitwa wanyonge ?
Kama ni hivyo basi bora arudi mkoloni Mweupe kufuta fikra hiyo ya kipumbavu.