Paul Makonda yupo mbugani anakula bata

Sabaya alienda hadi redioni.
 
Siyo ya zamani hizo?
Ila haya maisha, eti sasa hivi Makonda ni wanted mahakamani na mitaani.
Itakuwa kheri yake kama aliufanyia kazi ule ushauri wa Nabii Chid.
Kuboresha jela๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„chid benzi anaakili kubwa yule masta
 
Makonda unayemuzunguzia wewe sio huyu wa sasa, kapiga hela mno kupitia mrija wa Godfather wake.

Kama ilivyo kawaida ya viongozi wengi wanapopata nyadhifa.
 
Anasikiliza kwaito huku anasubiri kongoro ya nyumbu na nyati zichemshwe anywe supu
 
Mahojiano ya Red Carpet

Mtangazaji: Amekuvesha nani?
Chid Benz: Nimejivesha mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ