Itakuwa wamevunja mkataba, kwani hajamaliza hata msimu mmoja toka atoke Mbeya city.
Jamaa inaonekana anakula sana bangi
Jamaa inaonekana anakula sana bangi
Lakini akienda huko kiwango kitapotea, msimu ujao utasikia ameenda kwa mkopo timu fulani.
Paul Nonga sasa ni mali ya Yanga.
Mpachika mabao mkuu.
Paul Nonga sasa ni mali ya Yanga.