Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina zito sana hilo sema kwa chini chini aisee, au vinginevyo ita hata msuba au sie wazee wa zamani tuliita KUKUJamaa inaonekana anakula sana bangi
Kijeba, mi nilidhani yosso fulani wa present na future kama Danny Lyanga vile!
Huu ni upumbavu, anahitajika kweli ktk hiyo nafasi au kaja kujiua?
Sizitaki mbichi hiziKama mchezaji tayari wa vpl alafu ukahamia zile timu Za kariakoo dsm, ndo basi tena!
Pale ambapo kuna risks / changamoto ndipo pana mafanikio hivyo si mbaya akienda kule huenda kocha kuna sehemu ameona atafaaNi faida kwa timu, hasara kwa mchezaji. Kwa timu ya Yanga ni ngumu; kwa sababu alipokuwa Mwadui Fc alikuwa kama key prayer, lakini sasa itakuwa ngumu kutokana na mastriker kuwa wengi. Hata muda wa kucheza uwanjani utapungua tofauti na alipokuwa Mwadui.