Paul Nonga wa Mwadui FC amwaga wino Jangwani!!!

Paul Nonga wa Mwadui FC amwaga wino Jangwani!!!

Ni faida kwa timu, hasara kwa mchezaji. Kwa timu ya Yanga ni ngumu; kwa sababu alipokuwa Mwadui Fc alikuwa kama key prayer, lakini sasa itakuwa ngumu kutokana na mastriker kuwa wengi. Hata muda wa kucheza uwanjani utapungua tofauti na alipokuwa Mwadui.
Pale ambapo kuna risks / changamoto ndipo pana mafanikio hivyo si mbaya akienda kule huenda kocha kuna sehemu ameona atafaa
 
Back
Top Bottom