Ni faida kwa timu, hasara kwa mchezaji. Kwa timu ya Yanga ni ngumu; kwa sababu alipokuwa Mwadui Fc alikuwa kama key prayer, lakini sasa itakuwa ngumu kutokana na mastriker kuwa wengi. Hata muda wa kucheza uwanjani utapungua tofauti na alipokuwa Mwadui.