Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Bila shaka wale wapenzi wa michezo wa mguu tuliobahatika kuangalia soka la jana ..mtakubaliana nami kuwa mchezo wa jana ulikuwa 50/50 Kwa maana ya point ila kutokana na viungo wabunifu wa Manchester United kupiga pasi na kumiliki mpira possession kubwa Man United walimiliki mpira shida ilikuwa katika safu ya umaliziaji
Viungo wa Manchester United (Fred,Mc Tominay,Vidic,Bruno na Pogba) kila mmoja alikuwa na umihimu wake haijalishi nani alianza nani alikuwa benchi.
Ila kwa wote Pogba ali shine na kuleta muunganiko mzuri katika safu ya viungo na ushambuliaji kwangu alikuwa na mchezo mzuri kwa dakika alizoingia
Kwa game ilivyokuwa mtu wa kutolewa alikuwa MC Tominay wala sio Fred na Greenwood angeanza kuliko James .