Paul Pogba: Game changer

Paul Pogba: Game changer

Course Coordinator

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Posts
1,742
Reaction score
3,224
Bila shaka wale wapenzi wa michezo wa mguu tuliobahatika kuangalia soka la jana ..mtakubaliana nami kuwa mchezo wa jana ulikuwa 50/50 Kwa maana ya point ila kutokana na viungo wabunifu wa Manchester United kupiga pasi na kumiliki mpira possession kubwa Man United walimiliki mpira shida ilikuwa katika safu ya umaliziaji

Viungo wa Manchester United (Fred,Mc Tominay,Vidic,Bruno na Pogba) kila mmoja alikuwa na umihimu wake haijalishi nani alianza nani alikuwa benchi.
Ila kwa wote Pogba ali shine na kuleta muunganiko mzuri katika safu ya viungo na ushambuliaji kwangu alikuwa na mchezo mzuri kwa dakika alizoingia

Kwa game ilivyokuwa mtu wa kutolewa alikuwa MC Tominay wala sio Fred na Greenwood angeanza kuliko James .

FB_IMG_1592630826252.jpg
 
View attachment 1483956
Kipaji kikubwa sana anacho, Shida ya huyu kijana ni upumbavu alionao tu
 
Pogba Ni sawa na balotelli, Mpira anauweza ila kiburi na kujisikia kwingi Sana!
Hapo kwa Balloteli umekosea kidogo ...Balloteli ambaye hakupenda wazaz, Ballotel amby anakunjana na makocha wake ,Ballotel ambaye kila uchao haishi vituko .
 
Back
Top Bottom