Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

Uko sahihi wema angekuwa hata na diploma angebebeka na angekuwa mbali Sasa yeye aliwekeza kudanga na kusahau elimu wakati mwili umekongoroka, joketi kilichomsaidia ni shule yake pia bila hivo angekuwa ka wema
Bora useme wewe maana wenye team zao wameshafika. Wema ni zilipendwa kwenye showbiz. Yani mtu amuache Paula aende kwa wema?? Akina wolper walijua mapema wakaweka bizness zao...yeye akawekeza kwenye kufuga mashoga. Kiko wapii
 
Bora useme wewe maana wenye team zao wameshafika. Wema ni zilipendwa kwenye showbiz. Yani mtu amuache Paula aende kwa wema?? Akina wolper walijua mapema wakaweka bizness zao...yeye akawekeza kwenye kufuga mashoga. Kiko wapii
Wana mdaganya tu Paula Tena ana advantage ya kuwa maarufu kilichotakiwa ni kumshape awe hata na elimu ya wastani then kumuendeleza kwa kufanya kazi za kijamii na hivi anajulikana isingekuwa ngumu kupata ma connection ya ku support kazi zake za harakati hata kwa jamii, kuliko kumwacha na ma photo shot ya nguva mara kutoka na rayvan there is no future kabisa zaidi ya kutumika na kukongoroka, angejifunza kwa wema alikuwaga ana pata support ya wengi ila ikawa anaendekeza ujinga tu na team za hovyo hovyo na mashoga Sasa kafulia umaarufu hamna ndo akaenda kukata utumbo akifikiria utamrudisha kwenye chart matokeo yake kadorora doro. Kina wolper nao walikuja kushtuka kufungua biashara na hata kuzaa ila wema yeye kabaki kichwa na manunu wake. I do believe Paula akisimamiwa ni Binti atakayekuwa na potential kubwa tu
 
It all begins with her.

Anajua anachokitaka? Na anajua afikeje pale?

Mental capacity yake inaweza kumuongoza?

Hamna kitu damaging kwa mwanamke kama bad character. Image is everything and the time is now.
 
Una akilisana, nyie ndo watu tunawaitaji, mnauwezo wa kuona almasi kwenye matope.....kiukweli nimekuwa nikilifikiria sana hilo......kwamba siku hizi ili uweze kufanikiwa kwa haraka soko lipo social media, kwa mtoto Paula Mama yake kajala anapaswa sasa kuanza kumtengenezea management nzuri ambayo inapaswa kuwa na watu wabunifu na wenye kuona mbali sambamba na hali ya sasa ya soko la social media, pigs pesa kwanza kusoma baadaye ukishapata pesa....wazungu mbona wanafanya sana hilo sie ngozi nyeusi tumekariri bila kusoma no mafanikio....!
 
Ujinga kivipi !!?
wakati ukiumwa ndio wanakuchoma sindano
Kwa hyo unataka wote tuwe wachoma sindano .... Paula ana kitu chake anachokipenda ataenda kusomea kwacho then atarudi mtaani mama ake alishalitolea ufafanuz ...masuala ya vyeti vya Division one ni usenge tuu Kwa hapa bongo labda mambele huko...!!! Alaf wote wanaomuonea wivu Paula Wana Sura ngumu na hawana mvuto ...kama huyo mtoto wa monalisa ni Sawa kwake kupata Division one mana hakuna wa kushoboka naye, apambane awe engineer wa mabara barsahuko
 
Potential kwenye nini specifically?...Siasa,Tecnology,Uigizaji,Muziki au nini?
 
Paula Ana fursa nyungi tu sema watu wanamshusha
 
Potential kwenye nini specifically?...Siasa,Tecnology,Uigizaji,Muziki au nini?
Anaweza kutumia umaarufu wake kufanya kazi za kijamii, modelling like that ataweza kufika mbali kuliko huko kudanga hovyo
 
kikubwa asije ng'ofoa kizazi chake ...abaki nacho

Kazi yakufuga mbwa dume ili zije ziaze kumbwatukia usiku kwakweli hapana
tumechoka kusikia mbwa kapotea anautwa MAXMILian

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Nakupenda binti kiziwi limoyo langu linadunda dunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…