Wateja wake ni akina nani? Au kule kuonesha papuchi ndio bidhaa yenyewe?Sociolite. Anauza bidhaa yenye thamani kubwa kwa sasa "story telling". Anachokosa kwa sasa ni conversion tu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wateja wake ni akina nani? Au kule kuonesha papuchi ndio bidhaa yenyewe?Sociolite. Anauza bidhaa yenye thamani kubwa kwa sasa "story telling". Anachokosa kwa sasa ni conversion tu.
Nikwambie kitu ambacho uwezi kuamini?Wateja wake ni akina nani? Au kule kuonesha papuchi ndio bidhaa yenyewe?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kichwa chako kinauwezo mdogo sana wa kuprocess information.Anakuwaje namba moja East Africa halafu kapitwa na Paula? Au Paula ni wa West Africa?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
huyo zuchu naye anabebwa na lebo ya wcb tu hawezi kusimama yeye mwenyewe akakubalikaZuchu ndio staa namba moja wa kike kwa sasa East Africa. Amemkalisha mpaka Zari.
Pole kwa maumivu.huyo zuchu naye anabebwa na lebo ya wcb tu hawezi kusimama yeye mwenyewe akakubalika
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
niumie kwani mimi nashindana nao?mimi si msanii na wala sio chawa wa kundi lolote sasa kitu gani kitakachoniumiza?kuumia labda mtaumia nyinyi ambao mnatumia nguvu nyingi kusifia vitu vibovu ili mpate maslahi yenu.Pole kwa maumivu.