Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

Hili tatizo sio kwa wema tu....ni mastar wengi Tz hawaingizi mkwanja kuendana na majina yao
 
Malezi ya wazazi pia muhimu kwa mtoto, siku hizi wazazi wamegeuka wazungu, wanawapa watoto malezi ya kiwesterns mwisho wa siku litoto linamtukana baba/mama na kumkana sio mzazi wake.
 
Heheheh
 
Kinachokufanya umhukumu Wema ni kipi ? Unataka kusema wema ameharibikiwa Sana maisha kuliko graduate wote mjin hapa kisa Hana Elimu ..... Wema sio choka mbaya kama unavyofkri
Mkuu wema huyu huyu..😁,
Ila yule dada ana nyota kali sana 4 real angekua na elimu inayoeleweka ingembeba sana,,
Wema yule dem hana akili hata moja 😁,
Akilewa t umepita nae,ukiskia wanamuita nyumbu jua ni nyumbu kweli kweli.
Ngoja niishie hapa.
 
Mkuu elimu ndio kila kitu ..
Toa hayo mawazo kbsa,
Aliesoma na ambae hakusoma hawawez kua sawa.
Elimu inaku value sana hasa ukiwa maarufu,
Fursa nyingi zaidi zitasogea krbu yako..
Mfano niki,fa,jokate,roho saba angalia jins hawa wat wanavyotoka trtbu kwenye tasnia as ages goes huku tunawaona washachuja ila huko walipo ndo kwanza asubuhi and the future is bright..
Achana na hao kuna mamiss wengi t wazamani skuiz ni wat wakubwa kwenye makampuni makubwa sbbu ya elimu zao..,
Umri unapoenda na hayo mambo ya usocialite yanakuacha,kidogo kidogo utaona wat wanakupotezea,
..
 
ukiwa maarufu lazima uwe spender bongo hela unazopta zinaishia kwenye kuspend. Kile anachofanya ni kuspend sio kuchezea hela
 
Mpaka Zuchu wako kapitwa na Paula[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hivi paula anajishugulisha na nini hadi awe na menejment, au siku hizi kupiga umalaya nako kuna hadi menejment
 
Hivi paula anajishugulisha na nini hadi awe na menejment, au siku hizi kupiga umalaya nako kuna hadi menejment
Kuna Mambo ya booking mzee.[emoji1]

Huko majuu states kwa mfano Malaya wana management inayohusika na booking zao.

Una weza ukamkodi for

Private parties

Sexual encounters

Mambo mengine kedekede.

Bongo ndio imeingia Sasa[emoji1]
 
Mifano yako ya watu wanne Kati ya maelf ya vijana waliofanikiwa hapa mjini bila Elimu haina Uhalisia wwte , hayo mawazo yako ni ya WW2, leta list ya celebrity duniani waliotoboa wakiwa na degree moja ya Elimu , mna mawazo mgando Sana , hapa duniani what matter is a talent then Elimu ndo inafata.....!! Watu wanamshambulia Paula sababu dogo kawazidi fame na mvuto baas....

Kuhusu shule mama ake ashalitolea ufafanuz ataenda chuo nje ya nchi ..mnataka nini teena , kutoka na vanny boy ndo imekuwa nongwa , hao mnaosema et wamepata division one je hawapigwi pumbu ??? Wote wanapigwa tofaut ni kuwa mmoja anapigwa kistaa wengine wanapigwa na makapuku ambao hawajulikani ndo kinachowauma

Hao akina jokate , Niki wa pili na uchafu mwingine na PHD zao hzo sjui master's walikuwa na issue gani mjini kabla ya kupewa mbeleko ya chama na mda wwte unaweza fukuzwaa kazi ukarudi mtaani kuhustle , ungenambia hvi , wamesoma wanamiliki kampuni huku wanatumikia serikali hapo Sawa , unaringishia kazi za kuteuliwa b4 na vyeti vyao walikuwa wanazungusha mauno tu mjini hapa.....!!! F.A na degree zake hapishani na babu Tale aliyeishia darasa la pili B , tofaut ni kuwa FA yupo kijijini akufatilia visima vya maji huku Tale akiwa Minneapolis akila bata ,..

Alaf wema sio jumba bovu kama unavyofkr ....!! Ni yeye Tu alishindwa kuzichanga karata zake vizur...!!

Mkuu hata Sisi tuna vyeti vya chuoni Mzee degree zipo mezani Ila tumezipak tuna harakat za mtaa huku machizi wa darasa la saba ndo tupo nao bega Kwa bega kutengeneza mpunga .....!! So hakuna mtu wa kunitisha kuhusu Elimu ya kibongo mimi...!! Ni usenge tuu ndo mana hata waliopo serikalin maamuz Yao ni ya hovyo hovyo
 
Inawezekana ila kwa huyu mtoto kajiharibia mno...si tena role model na sidhani kama aliwahi kuwa a role model wa mtu yeyote maana story zake si nzuri. Kila msichana mwenye tabia za kijinga anafananishwa na huyu binti wa Kajala na kila mwanamke mdangaji au changu anafananishwa na Kajala hapa mjini. It's just a matter of time kabla hajapotezwa.
 
Hivi paula anajishugulisha na nini hadi awe na menejment, au siku hizi kupiga umalaya nako kuna hadi menejment
Sociolite. Anauza bidhaa yenye thamani kubwa kwa sasa "story telling". Anachokosa kwa sasa ni conversion tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…