Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Hii si kweli, msidharau elimu kijingajinga, ingekuwa hivyo si kila mtoto angekuwa anapata Div I?Unaposema form four alifeli unamaanisha hakupata cheti kabisa?
Halafu pia ngoja nikukumbushe kitu.
Vyuo vya nje vingine wanadahili bila ku regard makaratasi yetu ya form 4 au 6.
Anaweza akawa bora katika fani atakayoisomea huko kuliko yule atakayesomea UDSM mwenye division one ya bongo.