Paula kaenda kusomea kitu gani huko Uturuki?

Unaposema form four alifeli unamaanisha hakupata cheti kabisa?
Halafu pia ngoja nikukumbushe kitu.
Vyuo vya nje vingine wanadahili bila ku regard makaratasi yetu ya form 4 au 6.
Anaweza akawa bora katika fani atakayoisomea huko kuliko yule atakayesomea UDSM mwenye division one ya bongo.
Inaonesha ulifeli form four wewe! Bisha
 
Inaonesha ulifeli form four wewe! Bisha
Mimi sitetei failure ili imeniboa jinsi mtoa mada alivyo mjudge mtu.
Cheti changu cha form four hakina F hata moja.
Mimi nilifaulia shule za vipaji. Shule yetu yakitoka matokeo mnaulizana one ngapi sio sifuri ngapi.
 
Ndugu yangu aidha unapenda sana kubishana au huna akili timamu.
Je, kama nikikupa index ya mtu mwingine?
Tukate mzizi njoo pm Mimi nawewe tuweke vyeti vyetu vya kidato cha nne.
Wote sasa tunauhakika hukupita form four pamoja na kulegeza ufaulu A toka 81-100. Onyo, ukiona walio na elimu kukuzidi Acha kubishana nao.
 
Huko pm naomba niwe referee
Wote sasa tunauhakika hukupita form four pamoja na kulegeza ufaulu A toka 81-100. Onyo, ukiona walio na elimu kukuzidi Acha kubishana nao.
Wewe kolola mbona nakufuata pm umefunga.
Kubishana na vitoto vya shule ya kata sitaki.
Mrs Van naomba tukutanishe pm kisha uje ulete mrejesho hapa.
 
PM yangu ipo wazi ila imeunganishwa na mfumo wa NECTA! Kwa ambaye hakufaulu form four, itakataa kufunguka, maana ni kwa wale wenye cheti tu. Nakushauri urudie hata masomo matatu angalau upate angalau D mbili maana hata ukiwa na D moja, haitafunguka. Mrs Van kwa vile alishinda form four, kaingia kiulaini na amenituma nikupe salamu za pole na kukupa moyo wa kuanza QT. Una la ziada ? Bwaga index number yako hadharani inayoanza na P na wala si Sxxxx/xxxx/20xx
 
Are serious?
Yaani niweke index yangu hapa jukwaani kwa manufaa ya nani?
Kwa akili hizo kama umesoma basi umeishia kufanya zile kazi za wenye akili ndogo.
Nikiweka index number hapa watu wakiingia mtandaoni wataliona jina langu halisi.
Kama hutaki kufanya kama nilivyokwambia tuliza matako yako chini.
Mimi sio mjinga na kula kulala kama wewe.
Kwa jinsi ulivyoshindwa kukubali kuonyeshana vyeti pm nina hakika hata division 2 ya form four huna.
 
Pole sana jisalimishe QT
 
Back
Top Bottom