Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

ila hii kauli huwa si kweli kiviile, maana walio feli tz n wengi ila khali zao za maisha wengi ni tete ukiacha wale wachache walio toboa.

ivi mateja, changudoa, vibaka wengi ni kundi lipi?

kufaulu hakukupi uhakika wa maisha ila kidogo unakupa mwanga kuliko walio feli.
Maisha ni vile unavyotaka yawe, sidhani km machangudoa wote walifeli shule. Bado anayo nafasi ya kusoma akitaka..binafsi sijaona km amefeli kihivyo mpk iwe breaking news!
 
Maisha ni vile unavyotaka yawe, sidhani km machangudoa wote walifeli shule. Bado anayo nafasi ya kusoma akitaka..binafsi sijaona km amefeli kihivyo mpk iwe breaking news!
sawa ila stori ya kuambina kufeli shule ama kutokwenda shule sio kufeli maisha ni kupeana moyo ila ikifanyika tafiti utakuta wenye maisha ya hovyo wengi hawakwenda shule
 
sawa ila stori ya kuambina kufeli shule ama kutokwenda shule sio kufeli maisha ni kupeana moyo ila ikifanyika tafiti utakuta wenye maisha ya hovyo wengi hawakwenda shule
Aliyeenda shule akafeli sio sawa na yule ambaye hajaenda kabisa. Shule Ina umuhimu wake lkn haimaanishi ukifeli ndio Kila kitu kinasimama. Naelewa umuhimu wa shule
 
Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.

Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula hana amani kabisa,kula hali hana furaha kabisa yani kutokana na kuvurunda katika matokeo yake.

Nitawajuza zaidi ngoja niendelee kupeleleza zaidi na zaidi.

View attachment 1004347

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu asaidie hawa watoto wetu wa Kike, hakupenda ila malezi aliyokutana nayo ndiyo yanapelekea hivi.
 
Kiufupi Mtu aliyefaulu shule anakuaga na probability yakufanikiwa Maisha anakuwa na Mtazamo chanya kuhusu Maisha kwa ujumla .

So Mtu anapofeli shule Kuna uwezekano mkubwa akafeli MAISHA kwa kiwango kikubwa.

Then Elimu inakutofautisha sana na watu hata Kama hauna hela nyingi ila utaishi kwa utulivu ,Amani ,utu na upendo .

Hizi habari za kufeli shule sio kufeli MAISHA ni katika kujipa Moyo na kuendeleza Taifa la watu waliokata tamaa.
 
Back
Top Bottom