kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Bashite ndo nn??Acheni umbea wa kiwango hicho mbona huko alikosoma hakuna division Bashite wana 4 lakini hawana hiyo Bashite kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite ndo nn??Acheni umbea wa kiwango hicho mbona huko alikosoma hakuna division Bashite wana 4 lakini hawana hiyo Bashite kabisa
Yah ni kwlAlternative zipo nyingi sio lazima advance
Maisha ni vile unavyotaka yawe, sidhani km machangudoa wote walifeli shule. Bado anayo nafasi ya kusoma akitaka..binafsi sijaona km amefeli kihivyo mpk iwe breaking news!ila hii kauli huwa si kweli kiviile, maana walio feli tz n wengi ila khali zao za maisha wengi ni tete ukiacha wale wachache walio toboa.
ivi mateja, changudoa, vibaka wengi ni kundi lipi?
kufaulu hakukupi uhakika wa maisha ila kidogo unakupa mwanga kuliko walio feli.
sawa ila stori ya kuambina kufeli shule ama kutokwenda shule sio kufeli maisha ni kupeana moyo ila ikifanyika tafiti utakuta wenye maisha ya hovyo wengi hawakwenda shuleMaisha ni vile unavyotaka yawe, sidhani km machangudoa wote walifeli shule. Bado anayo nafasi ya kusoma akitaka..binafsi sijaona km amefeli kihivyo mpk iwe breaking news!
Aliyeenda shule akafeli sio sawa na yule ambaye hajaenda kabisa. Shule Ina umuhimu wake lkn haimaanishi ukifeli ndio Kila kitu kinasimama. Naelewa umuhimu wa shulesawa ila stori ya kuambina kufeli shule ama kutokwenda shule sio kufeli maisha ni kupeana moyo ila ikifanyika tafiti utakuta wenye maisha ya hovyo wengi hawakwenda shule
Mungu asaidie hawa watoto wetu wa Kike, hakupenda ila malezi aliyokutana nayo ndiyo yanapelekea hivi.Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula amepata division zero katika matokeo yake ya kidato cha nne yaliyotangazwa jana.
Unaambiwa tangu matokeo yatangazwe Paula hana amani kabisa,kula hali hana furaha kabisa yani kutokana na kuvurunda katika matokeo yake.
Nitawajuza zaidi ngoja niendelee kupeleleza zaidi na zaidi.
View attachment 1004347
Sent using Jamii Forums mobile app
Si woteKufeli mtihani sio kufeli maisha,waliopata div zero wakati nasoma wengi wao Sasa hivi wapo mbali sana kimaisha
Na sisi wanaume tuwe makini na wanawake tunaozaa nao.Mungu asaidie hawa watoto wetu wa Kike, hakupenda ila malezi aliyokutana nayo ndiyo yanapelekea hivi.
Ni kweli, sio woteSi wote
Sina neno, lakini kumbuka Paula Kajala amebadilika baada ya kuachwa na mchagga O FUNK.Na sisi wanaume tuwe makini na wanawake tunaozaa nao.