Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

Maisha ni vile unavyotaka yawe, sidhani km machangudoa wote walifeli shule. Bado anayo nafasi ya kusoma akitaka..binafsi sijaona km amefeli kihivyo mpk iwe breaking news!
 
Maisha ni vile unavyotaka yawe, sidhani km machangudoa wote walifeli shule. Bado anayo nafasi ya kusoma akitaka..binafsi sijaona km amefeli kihivyo mpk iwe breaking news!
sawa ila stori ya kuambina kufeli shule ama kutokwenda shule sio kufeli maisha ni kupeana moyo ila ikifanyika tafiti utakuta wenye maisha ya hovyo wengi hawakwenda shule
 
sawa ila stori ya kuambina kufeli shule ama kutokwenda shule sio kufeli maisha ni kupeana moyo ila ikifanyika tafiti utakuta wenye maisha ya hovyo wengi hawakwenda shule
Aliyeenda shule akafeli sio sawa na yule ambaye hajaenda kabisa. Shule Ina umuhimu wake lkn haimaanishi ukifeli ndio Kila kitu kinasimama. Naelewa umuhimu wa shule
 
Mungu asaidie hawa watoto wetu wa Kike, hakupenda ila malezi aliyokutana nayo ndiyo yanapelekea hivi.
 
Kiufupi Mtu aliyefaulu shule anakuaga na probability yakufanikiwa Maisha anakuwa na Mtazamo chanya kuhusu Maisha kwa ujumla .

So Mtu anapofeli shule Kuna uwezekano mkubwa akafeli MAISHA kwa kiwango kikubwa.

Then Elimu inakutofautisha sana na watu hata Kama hauna hela nyingi ila utaishi kwa utulivu ,Amani ,utu na upendo .

Hizi habari za kufeli shule sio kufeli MAISHA ni katika kujipa Moyo na kuendeleza Taifa la watu waliokata tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…