Tunangojea ripoti ya tume ya Sandali Ali kutupa mrejesho.Ngoja nitaleta mrejesho kama yaliyomo yamo au la.
Nipeni 2 months only.Tunangojea ripoti ya tume ya Sandali Ali kutupa mrejesho.
Hahahaha limelegezwa mkuu Kama sifa za uzur zitabak n zile tunazozjua mm na wewe huyu mtoto hayumoLabda kama neno mzuri limelegezwa masharti yake, kawaida sana
Yeah, ni vizuri zaidi kutumia matokeo ya utafiti kufanya maamuzi.Nipeni 2 months only.
Mimi sijawahi kufeli kirahisi.
She don't need money, she need yuyu
Rémy Ongala (R.I.P) Aliimba mwanzo wa mapenzi ni utamu kama chungwa , katikati ya mapenzi uchachu kama limao na mwisho wa mapenzi ni ichungu kama shubiri.Mwanzo ndivyo ulivyo katika mapenz,very hot.Siku ya kuzima huwa only onetime
Kuna mtu alinishangaza saana aliposema KAJALA NI MREMBO ikabidi nimgugoLabda kama neno mzuri limelegezwa masharti yake, kawaida sana
Hakuwa serious
Tutashukuru aiseeRémy Ongala (R.I.P) Ali I’m a mwanzo wa mapenzi ni utamu kama Chung was, katikati ya mapenzi uchachu kama limao na mwisho wa mapenzi ni ichungu kama shubiri.
Si wate wanaishi hisia uchungu kama shubiri. Wengi wanaishia kwenye uchachu wa limao. Uzeeni mnarudia tena utamu wa chungwa.
Huyu mbona sio Kajala?