imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Au atapimwa Tezi Jike na kuambiwa ni Mhamiaji haramu Babu yake alitoka Kenya.Usijeshangaa kesi kupinduliwa ili kuepuka hayo uliyoyaeleza hapo juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au atapimwa Tezi Jike na kuambiwa ni Mhamiaji haramu Babu yake alitoka Kenya.Usijeshangaa kesi kupinduliwa ili kuepuka hayo uliyoyaeleza hapo juu.
Nani kauliwa kwenye sakata la Mdee? Acha uzushi.Unafahamu kuna watu wameuliwa kwenye hilo sakata la akina Mdee ? kuua watu na kuingizwa chupa lipi kubwa ? Makonda ameua ( kwa mujibu wa USA ) lakini kateuliwa , hili jambo halikushangazi ?
CHADEMA lazima wamsafisheChadema tunamkaribisha kwa mikono miwili. Ni kijana wetu, tumemlea na kumkomaza wenyewe kisiasa; alirubuniwa tu ndiyo maana akaondoka. Atakuwa mwana mpotevu anayerudi nyumbani. Wakiendelea kumfuatilia tunaiambia dunia kuwa ni mhanga wa kisiasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Halima Mdee na wenzake walipimwa lini mkojo ?
Ukitazama hili jambo kwa jicho la tatu kwa kuangalia pongezi alizopewa Mh. Rais ni kwamba watanzania hawafurahishwi na watu wanyanyasaji kuwa madarakani au na vyeo fulani. Pauline hayuko mwenyewe,je kwa hatua hii itambidi kuwachukulia hatua na wengine wanaolalamikiwa? Tricky!
Hujui kitu , Shut up !Nani kauliwa kwenye sakata la Mdee? Acha uzushi.
Mwenyekiti wao alisema Katiba Ni "kijitabu tu"..View attachment 2826112
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Ndugu Paulina Gekul, ambaye ametumbuliwa kwa ukatili dhidi ya Ubinadamu, kwamba Nchini Tanzania unaweza ukafutwa uanachama na chama chako au ukajifuta mwenyewe lakini bado ukaenda mahakamani kuupigania ubunge wako.
Halima Mdee na Wasaliti wenzie hadi leo wako bungeni pamoja na kutimuliwa kisheria na Mkutano Mkuu wa Chadema, Mwingine ni Mamluki Mwambe wa Ndanda, huyu alijiondoa mwenyewe Chadema baada ya kununuliwa na Humphrey Polepole, akajivua ubunge na kurudi kwao kulima korosho, akarudisha mpaka chumba cha Gesti aliyopanga Dodoma, lakini akaitwa na Spika wa wakati ule Job Ndugai arejee bungeni bila Chama na akarejea na kumalizia ubunge wake.
Kwahiyo tunatarajia Gekul naye apite njia hiyo hiyo.
Angalizo: Siungi mkono Unyama wake kama vile nisivyounga mkono unyama wa Makonda, bali nataka wana JF muone wenyewe jinsi Katiba ya Tanzania inavyosiginwa
View attachment 2826111
Kwahiyo suala la kina Mdee sio la kisheria tena baada ya kufikishwa mahakamani?Kina Mdee walifanya uhalifu kama huu wa Gekul? Wewe Erythrocyte ungeandika huu uzi kama mwanao angeingiziwa chupa huko nyuma? Sio kila kitu siasa mkuu... suala la kina Mdee ni la kisiasa na hili la Gekul ni jinai na hata viongozi wako wa CHADEMA wamelaani hiki kitendo alichofanya. Nchi nzima iko against Gekul. Ni wewe na wapuuzi wachache mnaotaka kuingiza siasa hapa.
Pumbavu!Punguza ujuaji mkuu.
Kumbe kuvuruga uchaguzi ni madai eti!!??Kina Mdee walifanya uhalifu kama huu wa Gekul? Wewe Erythrocyte ungeandika huu uzi kama mwanao angeingiziwa chupa huko nyuma? Sio kila kitu siasa mkuu... suala la kina Mdee ni la kisiasa na hili la Gekul ni jinai na hata viongozi wako wa CHADEMA wamelaani hiki kitendo alichofanya. Nchi nzima iko against Gekul. Ni wewe na wapuuzi wachache mnaotaka kuingiza siasa hapa.
Wewe ni mtu mpuuziHujui kitu , Shut up !