Paulina ukifukuzwa uanachama CCM kimbilia Mahakamani ukazuie ubunge wako kama wale akina Mdee

View attachment 2826112

Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Ndugu Paulina Gekul, ambaye ametumbuliwa kwa ukatili dhidi ya Ubinadamu, kwamba Nchini Tanzania unaweza ukafutwa uanachama na chama chako au ukajifuta mwenyewe lakini bado ukaenda mahakamani kuupigania ubunge wako.

Halima Mdee na Wasaliti wenzie hadi leo wako bungeni pamoja na kutimuliwa kisheria na Mkutano Mkuu wa Chadema, Mwingine ni Mamluki Mwambe wa Ndanda, huyu alijiondoa mwenyewe Chadema baada ya kununuliwa na Humphrey Polepole, akajivua ubunge na kurudi kwao kulima korosho, akarudisha mpaka chumba cha Gesti aliyopanga Dodoma, lakini akaitwa na Spika wa wakati ule Job Ndugai arejee bungeni bila Chama na akarejea na kumalizia ubunge wake.

Kwahiyo tunatarajia Gekul naye apite njia hiyo hiyo.

Angalizo: Siungi mkono Unyama wake kama vile nisivyounga mkono unyama wa Makonda, bali nataka wana JF muone wenyewe jinsi Katiba ya Tanzania inavyosiginwa

View attachment 2826111
CCM tukikubaliana utupishe utapisha na mahakamani hauendi maana CCM ni nyumbani unaondoka Leo nafasi ya kurudi ipo.Sahau Kwa Geku kupinga maamuzi ya chama.
 
View attachment 2826112

Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Ndugu Paulina Gekul, ambaye ametumbuliwa kwa ukatili dhidi ya Ubinadamu, kwamba Nchini Tanzania unaweza ukafutwa uanachama na chama chako au ukajifuta mwenyewe lakini bado ukaenda mahakamani kuupigania ubunge wako.

Halima Mdee na Wasaliti wenzie hadi leo wako bungeni pamoja na kutimuliwa kisheria na Mkutano Mkuu wa Chadema, Mwingine ni Mamluki Mwambe wa Ndanda, huyu alijiondoa mwenyewe Chadema baada ya kununuliwa na Humphrey Polepole, akajivua ubunge na kurudi kwao kulima korosho, akarudisha mpaka chumba cha Gesti aliyopanga Dodoma, lakini akaitwa na Spika wa wakati ule Job Ndugai arejee bungeni bila Chama na akarejea na kumalizia ubunge wake.

Kwahiyo tunatarajia Gekul naye apite njia hiyo hiyo.

Angalizo: Siungi mkono Unyama wake kama vile nisivyounga mkono unyama wa Makonda, bali nataka wana JF muone wenyewe jinsi Katiba ya Tanzania inavyosiginwa

View attachment 2826111
Wewe utakuwa ulishawahi kuingiziwa chupa kubwa ya Konyagi backward.
 
CCM wanaheshimu utawala wa sheria, sio Chadema Kila siku wanamlazimisha SSH awavue ubunge akina Mdee wakati kesi iko mahakamani.

N.B: Gekul alimpa mwendazake bila hiyana, na watu wa kule wanavyopenda rangi Sasa, na yeye akawa jeuriii sababu the big boss alishafyatua. Angekuwepo, hata uwaziri asingetolewa.
Weeee !! sema thuuuu !!
 
Hapo ndipo iliposimamia hoja yangu , asante kwa kunielewa , akienda mahakamani hawawezi kumuondoa , njia pekee ni kumuua tu
Wale wa CUF, MAALIM vs LIPUMBA mbona walikwama.
Haya mambo yana depend Serikali ipo upande gani.
 
Back
Top Bottom