Pauline Gekul ashindwa rufaa ya Kijana Hashim Ally anayedai kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Pauline Gekul ameshindwa kwenye rufaa ya kesi ya kijana, Hashim Ally anayedai kuingizwa chupa sehemu ya haja kubwa na Gekul.

Mahakama ya Rufani ya Tanzania Arusha, imeamuru kesi hiyo ya jinai isikilize upya Mahakama Kuu ya Tanzania - Manyara

Soma Pia: Rufani dhini ya Mbunge Pauline Gekul yatupiliwa mbali, wapanga kufungua kesi ya madai kwa wote waliomchafua

Gekul.jpg
 
Nchi imeoza iasee huyu nae alikuwa naibu waziri? Vetting imekufa aisee
 
ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Pauline Gekul ameshindwa kwenye rufaa ya kesi ya kijana, Hashim Ally anayedai kuingizwa chupa sehemu ya haja kubwa na Gekul.

Mahakama ya Rufani ya Tanzania Arusha, imeamuru kesi hiyo ya jinai isikilize upya Mahakama Kuu ya Tanzania - Manyara

Soma Pia: Rufani dhini ya Mbunge Pauline Gekul yatupiliwa mbali, wapanga kufungua kesi ya madai kwa wote waliomchafua

Wakishakutoa kwenye mfumo wao umekwisha
 
Mimi nilijua yaliisha nadhan ndio maana akafungua rufaani yenye kutishia watu wamlipe na kumsafisha, imekuaje tena ngoma inarudi ngamani.

KEsi, Magonjwa ni gema la kurudisha nyuma mtu
 
Back
Top Bottom