Pauline Gekul ashindwa rufaa ya Kijana Hashim Ally anayedai kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa

Pauline Gekul ashindwa rufaa ya Kijana Hashim Ally anayedai kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa

ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Pauline Gekul ameshindwa kwenye rufaa ya kesi ya kijana, Hashim Ally anayedai kuingizwa chupa sehemu ya haja kubwa na Gekul.

Mahakama ya Rufani ya Tanzania Arusha, imeamuru kesi hiyo ya jinai isikilize upya Mahakama Kuu ya Tanzania - Manyara

Soma Pia: Rufani dhini ya Mbunge Pauline Gekul yatupiliwa mbali, wapanga kufungua kesi ya madai kwa wote waliomchafua

Alitumia uwaziri kufanya ufedhuli wake, sio waziri tena....
 
..imechukua muda ,ila UKWELI utakuja dhihirika tu ,..kijana alinyanyaswa au ni propaganda za "maadui" zake kisiasa?
 
Back
Top Bottom