Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nchi imeoza iasee huyu nae alikuwa naibu waziri? Vetting imekufa aiseeALIYEKUWA Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Pauline Gekul ameshindwa kwenye rufaa ya kesi ya kijana, Hashim Ally anayedai kuingizwa chupa sehemu ya haja kubwa na Gekul.
Mahakama ya Rufani ya Tanzania Arusha, imeamuru kesi hiyo ya jinai isikilize upya Mahakama Kuu ya Tanzania - Manyara
Msimuonee mbona tuna habari na michezo na VP?Nchi imeoza iasee huyu nae alikuwa naibu waziri? Vetting imekufa aisee
Mnazungumzia nn
Itamfilisi na kumpoteza labda ampe bususuu dogo AllyEbhanaeeee kumbe bado ina unguruma hii kesi
Tena wa Katiba na sheria, na akaongoza kuvunja sheria za katiba yenyewe.Nchi imeoza iasee huyu nae alikuwa naibu waziri? Vetting imekufa aisee
Watu wameng'ang'ania tai kazi anayo.Ebhanaeeee kumbe bado ina unguruma hii kesi
Na sahv yuko nje ya mfumo,huku unapambana na kesiUyu yupo jela au mtaa!?
Ila jela lazima, si ndio?Na sahv yuko nje ya mfumo,huku unapambana na kesi
Hapo anajikuta anatumia
Mihela tu mpaka zimuishie
Ova
Nchi imeoza iasee huyu nae alikuwa naibu waziri? Vetting imekufa aisee
Wakishakutoa kwenye mfumo wao umekwishaALIYEKUWA Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Pauline Gekul ameshindwa kwenye rufaa ya kesi ya kijana, Hashim Ally anayedai kuingizwa chupa sehemu ya haja kubwa na Gekul.
Mahakama ya Rufani ya Tanzania Arusha, imeamuru kesi hiyo ya jinai isikilize upya Mahakama Kuu ya Tanzania - Manyara
Soma Pia: Rufani dhini ya Mbunge Pauline Gekul yatupiliwa mbali, wapanga kufungua kesi ya madai kwa wote waliomchafua
Na bwana madeleka kama ataridhia maana ni anapenda kesi kama chakulaItamfilisi na kumpoteza labda ampe bususuu dogo Ally
ok.🐒ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Pauline Gekul ameshindwa kwenye rufaa ya kesi ya kijana, Hashim Ally anayedai kuingizwa chupa sehemu ya haja kubwa na Gekul.