Pauline Gekul ni zao la malezi ya Chadema, rejea Mahojiano ya Dkt. Slaa na Dar24

Nikuulize Jaji Mfawidhi

1. Umeongelea habari ya Dr Slaa mwanzo mwisho, ni wapi unai link na Gekul kumtia mtu chupa ya tako?

2. Huyo Dr Slaa kwanini hakuyasema hayo wakati yanatokea na yuko Chadema? Kama ni ya kweli tukisema nae anahusika nayo tutakosea?
 
If you can't convince the confuse them. Dr. wajua sisi watanzania huwa tunaamini chochote cha msimu huo bila hata facts.....tumsafishe Hayati Magufuli sasa. Tuwafanye watanzania wajiulize ulize kuhusu vijana wake waliorudi kwenye chama na wanaitarajiwa kurudi pia? Walionewa? Walisingiziwa? Ni CDM nao walihusika?
 
Na juzijuzi alitaka kurudi hukohuko CHADEMA.
 
Kube na wewe ni wa vile! Eh! JF njema kumbe!
 
Dada acha kula ugoro ...ccm huko ndio kumejaa wauza papa wasimbe sugu,michicha mwiba,mafisadi.....kwani uwongo ndgu zangu
 
Kwaani tangu mwanzo hamkujua Ni zao la Chadema ???? Leo ameharibu mnasema sio wa kweni na Ni wa Chadema duuu
 
Basi mna serikali ya kisengerema kama imelea ujambazi wa chadema. Umeandika ukiwa umeshindiliwa nyama ngumu kwenye njia ya haja kubwa.
 
Angekuwa zao la Chadema CCM ISINGEMNUNUA NA KUMPA UNAIBU WAZIRI
CCM NDIO KUNA VITENDO HIVYO NA BAHATI KAVIFANYA AKIWA MWANACHAMA WA CCM NA NAIBU WAZIRI WA SERIKALI YA CCM

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wana vitabia vya kigaidi na kidkteta. Siku wazalendo wakijiroga wakawapo hao wahuni nchi basi ujue vita ya wenyewe kwa wenyewe haiepukiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…