Pauline Gekul ni zao la malezi ya Chadema, rejea Mahojiano ya Dkt. Slaa na Dar24

Mwande na Mndewa umekosea title ilipaswa iwe zao la gaidi mbowe yaani yeye kaua wengi wengine majeruhi kama huyu lisu.
 
Ukiunganisha dot msaidizi wa slaa,chacha wangwe,mawazo,ben saanane,lissu na huyu gekul na ile kauli ya jaribu kuilamba sumu hii chadema ina watu hatari sana!
Sasa kwa ushauri tu muwafukuze ex chadema wote waliopo ccm. Mkianza na katibu wa uvccm, Mdee na covid wenzake, Waitara, Nasari, Lijualikali, Katambi etc. Mkiwafukuza mapema ni vizuri ili wasilete madhara zaidi huko waliko
 
Hata mlinzi wa Dr Slaa somebody Kagezi alitekwa na kuteswa na Red Brigade.

Boniface Jacob alikuwa na kesi yake ya kuteka na kutesa waandishi wa Uhuru.

Huyo Mawazo alikuwa ananyang'anya hadi radio call askari kwenye mikutano yake huko Geita.
 
Pumbavu kwanini usiseme sillinde au katambi ni zao la Chadema?
 
Sasa kwa ushauri tu muwafukuze ex chadema wote waliopo ccm. Mkianza na katibu wa uvccm, Mdee na covid wenzake, Waitara, Nasari, Lijualikali, Katambi etc. Mkiwafukuza mapema ni vizuri ili wasilete madhara zaidi huko waliko
Mdee mpaka juzi kasema yeye ni chadema na hakuna wa kumtoa!
 
Duuh hatari,ndoo maana Manabii hawakuhangaika na siasa!
 
Huo ni uongo Chadema wasingeachwa kwa hilo na serikali ya CCM! Slaa ni akina Gekul kama uneisikiliza ile clip mtandaoni tabia za Wairaq ndio za Slaa.
 
Chadema wana nguvu ushawishi kuliko polisi na usalama wa taifa, chadrma wanaweza kuzuia polisi wasifanye uchunguzi wa tukio la jinai eti
 
Sasa kwani serikali na vyombo vyake vya dola haiwachukulii hatua za kisheria?
Yaani muuwane wenyewe serikali ichukue hatua- haiana mambo ya maana ya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…