Haya tena,leo dogo janja kawalaza watu mapemaa,dk ya 7 tu mikeka imechanika,akili zote zilikuwa kuhesabu magoli ya Messi,Suarez and co,but the boy stole the show!..offcourse,with those curling shots from that left foot!
Ana tabia mbaya huyu yaani sijui nimfanyeje leo kaniudhi sana kuwatoa machozi watoto wazuri wa kiitaliano pale Juventus stadium,na yule mshereheshaji wao akiita PAULOO..warembo siku zote wanamjibu DYBALAAA..ila leo wamezidiwa mahaba..jamaa kaita PAULOO..watoto wazuuri na jezi zao za Jeep ni vilio tupu uwanjani!hawaamini kuwa wanamchinja mtu mzima!