Paulo Dybala, Mchawi wa soka asiyezungumziwa na wazandiki wa soka

Paulo Dybala, Mchawi wa soka asiyezungumziwa na wazandiki wa soka

Wenger anakwambia hamna wachezaji wakali zaidi ya alio nao......ulaniwe wenger
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeshamtumia email mourinho amchukue. Amesema tayari wako kwenye hatua za mwisho kupata data zake! ACHA UTANI NA PESA WEWE!
 
Haya tena,leo dogo janja kawalaza watu mapemaa,dk ya 7 tu mikeka imechanika,akili zote zilikuwa kuhesabu magoli ya Messi,Suarez and co,but the boy stole the show!..offcourse,with those curling shots from that left foot!
Ana tabia mbaya huyu yaani sijui nimfanyeje leo kaniudhi sana kuwatoa machozi watoto wazuri wa kiitaliano pale Juventus stadium,na yule mshereheshaji wao akiita PAULOO..warembo siku zote wanamjibu DYBALAAA..ila leo wamezidiwa mahaba..jamaa kaita PAULOO..watoto wazuuri na jezi zao za Jeep ni vilio tupu uwanjani!hawaamini kuwa wanamchinja mtu mzima!
 
Majira yajayo ya kiangazi katika Dirisha kubwa la Usajili wakala wake ndio atakuwa mtu maarufu katika vyombo vya habari huku simu yake ikiwa bize muda wote.

Juve inaenda kuvuna tena Mabilioni ya Pesa baada ya pesa za Pogba.

Forza Juve.
 
Gang Chomba yupo wapi. Mm namwachia yeye aongee.
 
Gang Chomba yupo wapi. Mm namwachia yeye aongee.
Bologna viwanja vyenu kule Italia huwa mnajaza "maua" mazuuri kweli yaani.Mimi napendaga kutazama mechi za Italia ili "nisafishe" macho wakati camera zikimulika majukwaani,ni raha tupu!
Ngoma siku ile Italia ilipokutana na Brazil world cup U.S.A mbele ya akina Baggio na Dunga!Yaani kiwanja kilijaa maua ya njano njano na bluu hadi nikataka niingie ndani ya tv!
 
Dogo hatari afu kuna majina huwa nahisi kuyaona kwa wachezaji wa asili ya Africa sio kwa Europe au Latin America

Dyabala

Cabaye

Yana "Sound" like African names
 
Paulo Dyabaaaaaaa kafanya Mauaji Jana UEFALONA wamekiona cha Moto.lkn siwaamini sana Hawa Jamaa Kwa kubebwa kwao siwapendi Hata kidogo
 
Back
Top Bottom