3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Akili au vikopo?Dybala ni zaidi ya cr7, hazard na neimar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili au vikopo?Dybala ni zaidi ya cr7, hazard na neimar
Lionel Messi hadi sasa ni kiumbe ambae hatujui ametokea sayari gani kiufupi ni kiumbe Wa ajabu.
Ukijaribu kung'amua macho kwenye league zote hamna Wa kumlinganisha na huyu jamaa.
Ila ukipita pita kwa jicho yakinifu unakuja kuona dogo Paulo Dybala akiendelea kupiga kazi Kama anayoonyesha sasa Kama baada ya miaka kadhaa basi upako Wa kiumbe huyu[Lionel Messi] anaweza kuupata.
Basi kwa ujumla Paulo Dybala itakuja kumridhi mikoba ya Mu-argentina mwenzie kiumbe cha ajabu[Messi]
Duuuuhh ....wewe Jamaa utakuwa na chuki binafsi "" ..nikweli paulinho hafikii viwango vya xavi wala iniesta lakini unasahau kuwa hao watu uliowataja ni gifted hawakuwa na viwango vya kawaida kiuchezaji ....na sio kweli kwamba "" p..hawezi hata kutuliza Mpira uneshaangalia idadi ya pasi za magoli na mabao aliyoyafunga msimu ulioisha "".....? .... na barca walimchukua Jamaa kama mchezaji wa kipindi cha mpito sio mchezaji wa kumtegemea kwa kipindi cha kuanzia miaka 5s......wamefanya hivyo huku wanajipnga kutafuta mbadala stahiki wa hao manguli
Badala ya kuwa Messi, amekuwa Paul Diblo Dibala!Unabii umefeli.
Badala ya kuwa Messi, amekuwa Paul Diblo Dibala!