Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Kwamba hadi sasa ni tatu bila hakuna aliemkamata wala kumfanya lolote...... Tanzania nzima nyie ni mademu tu kwake hakuna kidume wa kumuwajibisha.Hayo madole yake alivyoyaweka ni ishara ya nini?