Mawakili gani watakaomuwakilisha Tundu Lissu katika kesi ya kufutiwa ubunge?Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
Labda yako wewe na wao!!Watu MNA chuki Mbaya sana. Timu ni yetu jamani
Wengi mnoKuna baadhi ya wa-TZ ni kama wameisusia Taifa Stars baada ya Bashite kuingia humo
[emoji40]Anamchosha yule kijana kule
ManulaKijana gani mkuu?
Ongeza mawili kiongoziBashite kasema timu ni ya CCM na inatekeleza ilani ya CCM,ifungwe tu hata goli saba.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we sky wewe utavutwa chuchu hizoAnamchosha yule kijana kule
Bashite najisi aliyoitia hii timu nafikiri itatoka baada ya miaka 39 mingine.Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
Bashite huyoUshindi wenyewe tulipewe na Uganda kama andazi
Safari ya CCM Stars kwenda Afcon ni sawa na div 0 kung’ang’ania kwenda University. First Year anashindwa kupata 120 credits za kwenda 2nd year.
Mwenyewe hizi tetesi nimeanza kuzisikia siku nyingi sanaHeee...kumbe Manula anafaidi!?
Kwani bado yuko misiri?Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
Una akili za nusu bei kweli.....kwa msaada wa Nseven tu ndio tumefika hapoKutegemea point 1 mbele ya Algeria ni zaidi ya uwendawazimu hata angeenda Mbowe
4+ ni za kufikia tu leo halafu mnaponda siasa kwenye soka kwa utetezi wa kisiasa!
Makonda hakujihusisha na Stars kwa hiyo miaka 39 mbona hamkufuzu?
Stars imefuzu yeye akiwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa hili hamuwezi kulibadili
Una akili za nusu bei kweli.....kwa msaada wa Nseven tu ndio tumefika hapo
Zaidi ya hapo Bashite ni Ziro kwa kiswahili cha Ntwara
Kwa tunaoishi ughaibuni tunahitaji ufafanuzi hapa.
Tayari povu.Huo ndo ukweli unaowatesa.
Hiyo miaka 39 ambayo Stars haikufuzu AFCON gundu alikuwa anaitia mumeo?