Paulo Makonda, Ondoka Misri timu ipate hata Point 1

Paulo Makonda, Ondoka Misri timu ipate hata Point 1

Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
Mawakili gani watakaomuwakilisha Tundu Lissu katika kesi ya kufutiwa ubunge?
 
Keshatuharibua timu yetu!! na leo ni 4 mtungi mambegesa.
 
Sikubaliani na ushauri wako, acha nile hewa ya mapiramidi huku!!
hahahahah
PM.jpg
 
Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
Bashite najisi aliyoitia hii timu nafikiri itatoka baada ya miaka 39 mingine.
 
Ushindi wenyewe tulipewe na Uganda kama andazi

Safari ya CCM Stars kwenda Afcon ni sawa na div 0 kung’ang’ania kwenda University. First Year anashindwa kupata 120 credits za kwenda 2nd year.
Bashite huyo
IMG-20190630-WA0015.jpeg
 
Tatizo tuna timu mbili
Taifa Star na
Taifa Stars

Hiyo waliyopekeka ni Taifa Star aka Bashite star
 
Imetosha sasa, umeharibu ndoto za vijana wetu kwa ahadi zako na tabia yako iliyo wachanganya wapenzi wa mpira kwa kulazimisha kuiingiza siasa chafu kwenye michezo.
Ondoka bwana, tuachie timu yetu uliyoitia gundu kwenye nafasi hii adhimu iliyo jitokeza baada ya kipindi cha miaka 39.
Kwani bado yuko misiri?
 
Kutegemea point 1 mbele ya Algeria ni zaidi ya uwendawazimu hata angeenda Mbowe

4+ ni za kufikia tu leo halafu mnaponda siasa kwenye soka kwa utetezi wa kisiasa!

Makonda hakujihusisha na Stars kwa hiyo miaka 39 mbona hamkufuzu?

Stars imefuzu yeye akiwa Mwenyekiti wa kamati ya hamasa hili hamuwezi kulibadili
Una akili za nusu bei kweli.....kwa msaada wa Nseven tu ndio tumefika hapo

Zaidi ya hapo Bashite ni Ziro kwa kiswahili cha Ntwara
 
Back
Top Bottom