Mi nikajua ni aina ya samaki..😂Hata sikufahamu ni kitu gani View attachment 1577057
Hapa ndipo nami nashindwa kuelewa... ufungue ofisi kabisa na Documents zote za TRA.I had ideas about this type of business but i hadnt any abc of it esp regulations in tz, kama kuna mtu anajua more about this a share lakini binafsi sijawahi kuiona hata moja hku tz
I had ideas about this type of business but i hadnt any abc of it esp regulations in tz, kama kuna mtu anajua more about this a share lakini binafsi sijawahi kuiona hata moja hku tz
...wapo ila sio kama vile ulaya.mim huend mtaa wa kongo ukiuvuka unawakuta pale ndio nanunua vitu sana tu na wengine huwa wanajipanga hapa karibu na mnaz mmoj garden frem ya miwan mpaka 2000
Naomba nikueleze kwa mfano maana sijui kiswahili chake.Ndio kitu gani?
Aisee kumbe, mimi nilijua ni aina fulani ya vitafunwaNaomba nikueleze kwa mfano maana sijui kiswahili chake.
Nafungua Ofisi... unapatwa na shida ya pesa lakini una gari/laptop/chochote kile...
Unakuja unakileta kwangu nakupatia pesa kwa makubaliano.
Baadae unarudisha pesa yangu na cha juu nakupatia kitu chako...
Ukishindwa kurudisha pesa kwa muda tuliokubaliana nauza.