Pawn Shops nchini Tanzania

Pawn Shops nchini Tanzania

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Habari zenu wakuu.

Swali langu ni kuhusu hizi ofisi Tanzania. Kwanini pawn shops nchini mwetu hazina umaarufu. Na ni mara chache kuzipata kabisa hata sehemu za mijini.

Shida nini? Mfumo wa maisha au sheria zetu haziruhusu? Kama zipo naombeni mnifumbue macho. Sehemu kama Kariakoo nilitegemea ingekuwa nazo za kutosha.

Natanguliza shukurani.
 
Tusubiri kwanza CCM ikianza kumiliki hizo Pawn Shops na raia nao watazianzisha kwa kasi.
 
Hata sikufahamu ni kitu gani
Screenshot_20200922-134655.jpg
 
I had ideas about this type of business but i hadnt any abc of it esp regulations in tz, kama kuna mtu anajua more about this a share lakini binafsi sijawahi kuiona hata moja hku tz
 
Na walipo sana sana ni karibu na Jk kikwete sport pale kuanzia bomba kok kila kitu unapata yan fulltaa mzima ule ni pawn shops
 
I had ideas about this type of business but i hadnt any abc of it esp regulations in tz, kama kuna mtu anajua more about this a share lakini binafsi sijawahi kuiona hata moja hku tz
Hapa ndipo nami nashindwa kuelewa... ufungue ofisi kabisa na Documents zote za TRA.
 
na walipo sana sana ni karibu na Jk kikwete sport pale kuanzia bomba kok kila kitu unapata yan fulltaa mzima ule ni pawn shops
Asante mkuu..

Ni ofisi kabisa na zinafuata taratibu zote za kibiashara.!
 
I had ideas about this type of business but i hadnt any abc of it esp regulations in tz, kama kuna mtu anajua more about this a share lakini binafsi sijawahi kuiona hata moja hku tz
wapo ila sio kama vile ulaya.mim huend mtaa wa kongo ukiuvuka unawakuta pale ndio nanunua vitu sana tu na wengine huwa wanajipanga hapa karibu na mnaz mmoj garden frem ya miwan mpaka 2000
...
 
Ofisi wap wnazitoaga asubh tu.kuanzia kila.kitu unakuta juz nikikuta mpaka jakuz lipo.yan wale wanachkua huko mavitu pale ndio center yao.
 
ofisi wap wnazitoaga asubh tu.kuanzia kila.kitu unakuta juz nikikuta mpaka jakuz lipo.yan wale wanachkua huko mavitu pale ndio center yao.
Asante nimeelewa.
 
Ndio kitu gani?
Naomba nikueleze kwa mfano maana sijui kiswahili chake.

Nafungua Ofisi... unapatwa na shida ya pesa lakini una gari/laptop/chochote kile...

Unakuja unakileta kwangu nakupatia pesa kwa makubaliano.

Baadae unarudisha pesa yangu na cha juu nakupatia kitu chako...

Ukishindwa kurudisha pesa kwa muda tuliokubaliana nauza.
 
Kuuliza si ujinga. Embu nifafanulieni mnazungumzia nini?

Mashikolo mageni mwee...😀
 
Naomba nikueleze kwa mfano maana sijui kiswahili chake.

Nafungua Ofisi... unapatwa na shida ya pesa lakini una gari/laptop/chochote kile...

Unakuja unakileta kwangu nakupatia pesa kwa makubaliano.

Baadae unarudisha pesa yangu na cha juu nakupatia kitu chako...

Ukishindwa kurudisha pesa kwa muda tuliokubaliana nauza.
Aisee kumbe, mimi nilijua ni aina fulani ya vitafunwa
 
Back
Top Bottom