Nimelinganisha salary slip za watu wawili tofauti, mmoja ana basic salari sh 2100000 analipa Kodi sh 412000, na mwingine basic salary sh 1100000 analipa Kodi sh 101000.
Je, Kodi hizi zina uwiano Gani na kipato chetu watumishi wa serikali?
Sijui kama wanania ya kumsaidia mfanyakazi.........kwani ndiye analipa kodi kubwa kuliko mabiashara mengi makubwa. Ukiongezwa mshahara kodi ya paye inakuwa inaweza kuwa mara mbili na pengine zaidi ili uendelee kupokea kidogo...
Wangetoa kile kiasi wanachojumlishia kwenye asilimia; wafanyakazi nao wangefurahia mishahara yao