Nimelinganisha salary slip za watu wawili tofauti, mmoja ana basic salari sh 2100000 analipa Kodi sh 412000, na mwingine basic salary sh 1100000 analipa Kodi sh 101000.
Je, Kodi hizi zina uwiano Gani na kipato chetu watumishi wa serikali?
WoteKodi hii ni kwa watumishi wa sekta binafsi pia au umma pekee??
Ikimaanisha wengine wanakandamizwa haiko uniformNi balaa sana nimeona Sheria inasema PAYE inaweza kukatwa kuanzia 0-30%.
Na walisema PAYE ni single digit halafu tazama huyu👇
View attachment 3060033
Huyu alitakiwa kulipa PAYE ya 144,000 ila analipa x2 = 18%
Je watumishi ni walipa kodi? Inawezekanaje mlipa kodi hana TIN?View attachment 3060508njia rahisi ni kingia kwenye website ya tra unapata PAYE kirahisi
PAYE hawachukui 9% ya mshahara wako, Bali Kuna formula inayotumika, hiyo 9% ni sehemu ya hiyo formula. Mshahara unavokua mkubwa na Kodi inaongezeka maradufu.Na walisema PAYE ni single digit halafu tazama huyu👇
View attachment 3060033
Huyu alitakiwa kulipa PAYE ya 144,000 ila analipa x2 = 18%
Waliposimama majukwaani kusema wanawakata kwa single digit walikuwa wanahadaaPAYE hawachukui 9% ya mshahara wako, Bali Kuna formula inayotumika, hiyo 9% ni sehemu ya hiyo formula. Mshahara unavokua mkubwa na Kodi inaongezeka maradufu.
👍View attachment 3060508njia rahisi ni kingia kwenye website ya tra unapata PAYE kirahisi