Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Ndoto za alinacha hao hao wa failed slogans za MATAGA, matokeo chanya, Tanzania Mpya, Tanzania ya Viwanda, Hapa Kazi Tu, sasa hivi wanatudanganya na Kazi Iendelee, Watakuja na Tanzania ya Mama, Tanzania na Tumaini Jipya, Mama ni Mama mwisho ni kilio tu.CCM hawa ambao hawakujipanga wataweza vipi kufanya mambo kama haya?
Hakuna Jipya, ni ujanja ujanja tu bila katiba mpya.