Paypal account on hold

Paypal account on hold

Skril ina majanga mengi hadi mastercard sometimes zinazingua
Nimeitumia miaka 3, nilikuwa nalazimika kumtumia mtu Nairobi ndipo yeye apokee kwa safaricom then anitumie kwa mpesa. Makato makubwa sana
 
Mimi ndiyo njia niliyoanza nayo kupitia paypal nilikuwa namtumia mtu kenya ananitumia kwa mpesa unakuta napoteza almost 30% maana naye anacharges zake kabla sijaweza fungua account yangu.

Skrill kuna mtu nilikuwa ninamtumia anaiingiza kwenye platform ya forex halafu anaitoa kwa mpesa lakini alligoma kuniambia ni platform gani na ilikuwa ina makato kidogo sana.
 
Mimi ili nimeliovercome, nimeanzisa hhii tread ili watu wacanie na wengine wapate njia maana ni tatizo la wengi. Mimi ilifungwa Jumatano last week, ijumaa nikafanya mchakato wakuifungua leo wakaifungua lakini njia niliyotumia ni haramu
Taratibu za fedha nchini zinatusababishia usumbufu mkubwa watanzania ambao tunatafuta riziki halali nje ya mipaka ya jamhuri ya Tanzania. Muhimu vodacom ku partner na skrill au paypal kurahisisha money transfer.
 
Mimi ndiyo njia niliyoanza nayo kupitia paypal nilikuwa namtumia mtu kenya ananitumia kwa mpesa unakuta napoteza almost 30% maana naye anacharges zake kabla sijaweza fungua account yangu. Skrill kuna mtu nilikuwa ninamtumia anaiingiza kwenye platform ya forex halafu anaitoa kwa mpesa lakini alligoma kuniambia ni platform gani na ilikuwa ina makato kidogo sana.
Itakuwa Tickmill au Templerfx but hawa wote wamezuiliwa kupokea wala kuwatumia kupitia mpesa.
Njia iliyosalia ni Bitcoin.
Ukiwa unafahamiana na agent wa Localbitcoin eneo lako ni rahisi zaidi.
Kama unatumia skrill kwasasa kuna agent kibao, unabadilishana nao wanakupa tsh wewe hizo dollar
 
ILa skrill napokeaga ela mara chache na kama kuna tatizo payoneer ndipo naitumiaga. Paypal ndo sana kwasaabu kuna clients wanapenda lipa kwa paypal na pia naitumia kwenye malipo kuna vitu nauzaga online.
 
Taratibu za fedha nchini zinatusababishia usumbufu mkubwa watanzania ambao tunatafuta riziki halali nje ya mipaka ya jamhuri ya Tanzania. Muhimu vodacom ku partner na skrill au paypal kurahisisha money transfer.
Yani tunawanufaishi wakenya pakubwa
 
Nchi hii viongozi hawana MAONO na hawahangaiki kupanua wigo wa watu wake kujiahiri.
Kuna mwaka sikuwa na kazi lakini nilikuwa najifungia ndani na kufanya biashara online na nilioiga pesa ndefu sana hadi nilinunua mchuma huku nashinda ndani tu.
Yani tunawanufaishi wakenya pakubwa
ILa skrill napokeaga ela mara chache na kama kuna tatizo payoneer ndipo naitumiaga. Paypal ndo sana kwasaabu kuna clients wanapenda lipa kwa paypal na pia naitumia kwenye malipo kuna vitu nauzaga online.
 
Itakuwa Tickmill au Templerfx but hawa wote wamezuiliwa kupokea wala kuwatumia kupitia mpesa.
Njia iliyosalia ni Bitcoin.
Ukiwa unafahamiana na agent wa Localbitcoin eneo lako ni rahisi zaidi.
Kama unatumia skrill kwasasa kuna agent kibao, unabadilishana nao wanakupa tsh wewe hizo dollar
Nadhani templerfx inawezekana kutuma na kupokea kwa mpesa safaricom.
 
Nchi hii viongozi hawana MAONO na hawahangaiki kupanua wigo wa watu wake kujiahiri.
Kuna mwaka sikuwa na kazi lakini nilikuwa najifungia ndani na kufanya biashara online na nilioiga pesa ndefu sana hadi nilinunua mchuma huku nashinda ndani tu.
Kuna fursa nyingi sana online, mimi nauza vitu etsy yani vitu vya ngozi clients wengi sana
 
Nshasikia equity wanaruhusu PayPal merchant uelewa aje kucralify
 
Back
Top Bottom