Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nimeitumia miaka 3, nilikuwa nalazimika kumtumia mtu Nairobi ndipo yeye apokee kwa safaricom then anitumie kwa mpesa. Makato makubwa sanaSkril ina majanga mengi hadi mastercard sometimes zinazingua