talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
- Thread starter
-
- #41
Old minded people.. Sijui kama wanajua ugumu tunaopata. Tunauza huduma kupitia mitandaoni na ili wateja wawe na hakika ya huduma zetu wanalipa kupitia mitandao husika na baadae tukisha wahudumia ndo malipo yetu huidhinishwa. Sasa lazima kuwe na njia rahisi ya kupata pesa zetu na serikali ikusanye kodi. Vinginevyo tutabaki masikini miaka yoteNgoja niwaandikie Dm Mpango na nduguru , watu tunapiga Sana pesa nje Ila kuzileta bongo ndo miyeyusho alag wenyewe wamelaza matumbo Yao na mi vx
We are a sleeping giant... Tutaamka too latehii nchi viongozi sijui wanawaza nini
Nadhani ili ipokee ndo hivyo usajilie nchi nyingineMkuu hebu tueleze, sababu kwa uelewa wangu PayPal kwa Tanzania inafanyakaz upande wa kutuma tu tena kupitia Bank.. So wew unapokea kupitia PayPal?? How!?
Thanks ila ungenipa link hapa ingesaidiaBinafsi natumia Payoneer..... Niko na online account na ATM master Card ya Payoneer, naweza ku withdraw toka kwa ATM yoyote Inayo support Master Card Worldwide!
Kuna Uzi nilifungua muda kidogo, tembelea upate uelewa kidogo.
BOT juzi kati walisema biashara ya fedha za mtandaoni ni kinyume cha sheria, wenda hawataki kuruhusu paypal maana kwa akili zao wanaamini ni kinyume cha sheria!Hivi wizara ya fedha imeshaeleza kwanini huduma hii imezuiliwa Tanzania?
Hiyo yenyewe no bank na unapewa na ac,so ikiingia kule wewe unatoa huku kwenye atmHii naitumia vipi kwenye malipo yanayohitaji option mbili tu za aidha PayPal au bank na kwa bank wanatoa Mara moja tu kwa mwezi?
Mfano Mimi nauza package zangu za utalii kupitia TripAdvisor na wanapitishia malipo yao Viator ambao wanalipa kwa njia hizo mbili aidha bank au PayPal. Kosa kisheria ni lipi hapa? Kuuza huduma mtandaoni au kupokea pesa mtandaoni. Vipi utalii utakuwa kama tunataka kuuza huduma manually?BOT juzi kati walisema biashara ya fedha za mtandaoni ni kinyume cha sheria, wenda hawataki kuruhusu paypal maana kwa akili zao wanaamini ni kinyume cha sheria!
Nitafuatilia nione kama wanaweza rahisisha kazi yangu. Maana Nina account kadhaa Nazi namba zinavyotumika ni kupokea once a monthHiyo yenyewe no bank na unapewa na ac,so ikiingia kule wewe unatoa huku kwenye atm
Dah, tunachelewa sana ndugu yangu.Hii nchi inatia hasira sana yaani, kuna mamtu yako so linearly hayafikirir wala kujigumza toka kwa nchi zilizoendelea..
B.O.T nimewatukana kisirisiri na viongozi wote upande Wa fedha na uchumi mabangladesh kabisa wote ni medula oblangata useless.
Ni kweli risk ya kupoteza pesa ni kubwa, ila unaweza kwenda Kenya ukasajili laini kwa kutumia passport ya kusafiria ya Tanzania.Wasiwasi wangu ni kutumia laini ya MTU naweza kupoteza pesa yangu
Hiyo ndio option yenye uhakika japo laini isiyotumika kwenye kupiga na kupokea simu pia unaweza kufungwa.Ni kweli risk ya kupoteza pesa ni kubwa, ila unaweza kwenda Kenya ukasajili laini kwa kutumia passport ya kusafiria ya Tanzania.
Yes utapata laini kwa jina lako
Yes, option sahihi, na suala kufungiwa unaweza kuliepuka kabisa, uwe unanunua salio japo maramoja ndani ya miezi mi3, na utanunua salio kupitia mpesa yake, kama unavyonunua salio kutoka mpesa au Tigo pesaHiyo ndio option yenye uhakika japo laini isiyotumika kwenye kupiga na kupokea simu pia unaweza kufungwa.
Hiyo ndio option yenye uhakika japo laini isiyotumika kwenye kupiga na kupokea simu pia unaweza kufungwa.
Mfano Mimi nauza package zangu za utalii kupitia TripAdvisor na wanapitishia malipo yao Viator ambao wanalipa kwa njia hizo mbili aidha bank au PayPal. Kosa kisheria ni lipi hapa? Kuuza huduma mtandaoni au kupokea pesa mtandaoni. Vipi utalii utakuwa kama tunataka kuuza huduma manually?
Nna swali la ufahamu...mfano unataka kumuuzia mtalii kitu (physical good) na uko bongo na yeye yupo ulaya, je usafirishaji unakuaje? unatumia dhl au posta? kama posta delays una deal nazo vipi?Hiyo ndio option yenye uhakika japo laini isiyotumika kwenye kupiga na kupokea simu pia unaweza kufungwa.
Mpe ukweli wa kipi ni sahihi na kipi Si sahihi.. Usipinge bila kutoa maelezoSio kweli. Sio kweli kabisa.
Acha kudhania, kuwa na uhakika. Unapotosha umma