talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
- Thread starter
- #41
Old minded people.. Sijui kama wanajua ugumu tunaopata. Tunauza huduma kupitia mitandaoni na ili wateja wawe na hakika ya huduma zetu wanalipa kupitia mitandao husika na baadae tukisha wahudumia ndo malipo yetu huidhinishwa. Sasa lazima kuwe na njia rahisi ya kupata pesa zetu na serikali ikusanye kodi. Vinginevyo tutabaki masikini miaka yoteNgoja niwaandikie Dm Mpango na nduguru , watu tunapiga Sana pesa nje Ila kuzileta bongo ndo miyeyusho alag wenyewe wamelaza matumbo Yao na mi vx