Paypal account Tanzania tunasubiri nini?

Habari zenu wadau wa Uchumi na biashara.

Nielekee kwenye mada moja kwa moja. Nimejikuta nastack hapa maana kuna biashara naifanya ambapo watu wanabook online na kulipa then nawahudumia. Kumetokea na shida kwenye kupokea malipo yangu kwani ni njia mbili tu zinazotakiwa.

1. Kulipwa kupitia bank ambayo mnaelewa fees zake na ikizingatiwa nimeuza huduma kwa bei ndogo ili kuvutia wateja. Na malipo yanatolewa kwa mwezi na yazidi dollar 50.
2. Kulipwa kwa PayPal ambayo ambayo haina limitation ya time na kiwango cha pesa. Bahati mbaya Tanzania huduma hii ni not applicable.

Wenzangu mnaofanya biashara online mnapokea vipi malipo yenu kwa haraka na gharama nafuu?

Vipi nikidanganya na kufungua account ya PayPal kama Niko nchi jirani account itakubali na itakuwa inapokea malipo bila tatizo?

Naomba msaada maana pesa yangu IPO pending online.
Kuna benki moja ya marekani ,inaitwa payoneer kama sijakosea,unaregister online then wanakutumia visa/master card,then mara nyingi ni rahisi kwa mteja kutuma thru hiyo accounts,wewe bank wanakutumia tu kadi unatoa cash kwa atm bongo hapa
 
Mkuu, niliwahi kujisajili na hii bank, but shida ilikua kupata hiyo atm card, nipe uzoefu wako njia gani rahisi kupata hiyo card
 
Tafuta laini ya Safaricom fungua Mpesa yao utaweza kujisajili na PayPal kwa urahisi utapata pesa yako chap kupitia hiyo mpesa ya safaricom
Then utafanya kuhamisha tu kuja mpesa yako ya bongo
Nadhan tumeelewana
Makato mara mbili....
 
Sasa shekh hapo Zenji na Mombasa Si karibu tu unaagiza chap ikiwa imesajiliwa unakuja kufanya yako
Kutumia lina ambayo imesajiliwa kwa jina la mtu ambaye hata humfahamu ni very risk.... Kama ana passport basi anao uwezo wa kusajili line ya safaricom kwa jina lake... angalau hiyo ni safe...
 
Wataalamu wa mambo haya naombeni majibu au ndo bado mpo vituo vya kuhesabia kura mnashuhudia ushindi wa 100%?

Jamani naombeni msaada wangu maana jina pending payments on line.
Mimi ningekushauri utumie bitcoin japo siku za karibuni nimeona BOT wakiipiga vita. Yaani unabuy bitcoins halafu unakuja kuziuza unapata Cash... na pia ni rahisi zaidi...
 
Chukua line ya Safaricom(Kenya) iliyo na MPESA fungua account nchi yako andika Kenya..link PayPal to your MPESA account.
Pesa itakuwa inaingia direct kwenye MPESA then fanya transfer..
Ila transfer fees zipo juu kweli mimi mwenyewe nilikuwa na changamoto kama hiyo..
 
Ngoja niwaandikie Dm Mpango na nduguru , watu tunapiga Sana pesa nje Ila kuzileta bongo ndo miyeyusho alag wenyewe wamelaza matumbo Yao na mi vx
 
Habari zenu wadau wa Uchumi na biashara.

Nielekee kwenye mada moja kwa moja. Nimejikuta nastack hapa maana kuna biashara naifanya ambapo watu wanabook online na kulipa then nawahudumia. Kumetokea na shida kwenye kupokea malipo yangu kwani ni njia mbili tu zinazotakiwa.

1. Kulipwa kupitia bank ambayo mnaelewa fees zake na ikizingatiwa nimeuza huduma kwa bei ndogo ili kuvutia wateja. Na malipo yanatolewa kwa mwezi na yazidi dollar 50.
2. Kulipwa kwa PayPal ambayo ambayo haina limitation ya time na kiwango cha pesa. Bahati mbaya Tanzania huduma hii ni not applicable.

Wenzangu mnaofanya biashara online mnapokea vipi malipo yenu kwa haraka na gharama nafuu?

Vipi nikidanganya na kufungua account ya PayPal kama Niko nchi jirani account itakubali na itakuwa inapokea malipo bila tatizo?

Naomba msaada maana pesa yangu IPO pending online.
Mkuu matizo yetu yanatofautina kidogo mimi pia nafanya biashara za online baadhi ya AC za PayPal kwa Tanzania zinapokea na kulipa Pesa pia yangu inapokea vizuri sana.

Changotomo mteja anachajiwa malambili anachajiwa na bank pamoja na PayPal ,Bank wana chaji fees za kutuma hella, PayPal wanachaji free kwajili yaku secure transactions zikisha ingia kweye account yangu nazivuta kwenye acount yangu ya Nje ya Nchi pia hapa nako kuna tax inakatwa tena,Swali ni Watanzania wangapi wanajua habari za PayPal,

Hii kitu inanipasua sana kichwa baada ya kuona ugumu ikabidi nifungue office ukipiga hesabu za kuendesha office ukajumlisha na fees za bank na PayPal na cost za office bei inakua kubwa watu wanagoma kuagiza mizigo kimtindo,

Kuna pindi nilifunga container mbili za mizigo balaa lilonikuta pale bandari dar es alaam sitaki hata kukumbuka nikapambana mzigo ukatoa ukaingia sokini wafanya biashara wa kibongo niwalaliajia balaa niliambulia vichenji tu watu wakiona mzigo wanambizana yaani wanapanga bei wenyewe duh niliona maajabu siwezi kufanya tena ujinga ule.

Kiubishi ubishi tutafika ,Biashara za oline ni nzuri sana tatizo utapeli nao umezidi sana kwenye Nchi zetu za Kiafrica watu wanaogopa sana kuna utapeli wa kijinga sana unaendele kwenye mitandao ya kijamii kama ajira hawa watu wanachafua sana biashara za oline.
 
Mkuu hebu tueleze, sababu kwa uelewa wangu PayPal kwa Tanzania inafanyakaz upande wa kutuma tu tena kupitia Bank.. So wew unapokea kupitia PayPal?? How!?
 
Hapana, ila Ukiwa na Lain ya Safaricom unaweza kuitumia Tanzania endapo utawasha Roaming, pia ukiwa na vodacom ukiwa Kenya, utaweza tumia kwa Roaming
Wasiwasi wangu ni kutumia laini ya MTU naweza kupoteza pesa yangu
 
Kuna benki moja ya marekani ,inaitwa payoneer kama sijakosea,unaregister online then wanakutumia visa/master card,then mara nyingi ni rahisi kwa mteja kutuma thru hiyo accounts,wewe bank wanakutumia tu kadi unatoa cash kwa atm bongo hapa
Hii naitumia vipi kwenye malipo yanayohitaji option mbili tu za aidha PayPal au bank na kwa bank wanatoa Mara moja tu kwa mwezi?
 
Mimi ningekushauri utumie bitcoin japo siku za karibuni nimeona BOT wakiipiga vita. Yaani unabuy bitcoins halafu unakuja kuziuza unapata Cash... na pia ni rahisi zaidi...
Baishara nayofanya ndio taaluma yangu na ninalipwa na wateja wangu kwa huduma nayowapa kupitia Viator ambao wanataka nipate malipo yangu aidha kwa PayPal au bank tu. PayPal inapokea pesa muda wowote kiasi kwamba uendeshaji wangu unakuwa rahisi maana Nina kuwa na pesa ya kuendesha kazi. Ila kwa bank inalipwa Mara moja tu kwa mwezi hivyo inaniwia vigumu sana kuendesha kazi zangu.

Bit coin ni biashara nyingine ambayo so vema kuiingiza kwenye biashara hii. Otherwise nijifunze na niianze kama biashara mpya
 
Chukua line ya Safaricom(Kenya) iliyo na MPESA fungua account nchi yako andika Kenya..link PayPal to your MPESA account.
Pesa itakuwa inaingia direct kwenye MPESA then fanya transfer..
Ila transfer fees zipo juu kweli mimi mwenyewe nilikuwa na changamoto kama hiyo..
Hii kusajili kwa laini ya nchi nyingine inaongeza costs maana inabidi ulipe transactions fees zaidi ya moja kabla ya kuiweka pesa mkononi
 
Back
Top Bottom