Mkuu matizo yetu yanatofautina kidogo mimi pia nafanya biashara za online baadhi ya AC za PayPal kwa Tanzania zinapokea na kulipa Pesa pia yangu inapokea vizuri sana.
Changotomo mteja anachajiwa malambili anachajiwa na bank pamoja na PayPal ,Bank wana chaji fees za kutuma hella, PayPal wanachaji free kwajili yaku secure transactions zikisha ingia kweye account yangu nazivuta kwenye acount yangu ya Nje ya Nchi pia hapa nako kuna tax inakatwa tena,Swali ni Watanzania wangapi wanajua habari za PayPal,
Hii kitu inanipasua sana kichwa baada ya kuona ugumu ikabidi nifungue office ukipiga hesabu za kuendesha office ukajumlisha na fees za bank na PayPal na cost za office bei inakua kubwa watu wanagoma kuagiza mizigo kimtindo,
Kuna pindi nilifunga container mbili za mizigo balaa lilonikuta pale bandari dar es alaam sitaki hata kukumbuka nikapambana mzigo ukatoa ukaingia sokini wafanya biashara wa kibongo niwalaliajia balaa niliambulia vichenji tu watu wakiona mzigo wanambizana yaani wanapanga bei wenyewe duh niliona maajabu siwezi kufanya tena ujinga ule.
Kiubishi ubishi tutafika ,Biashara za oline ni nzuri sana tatizo utapeli nao umezidi sana kwenye Nchi zetu za Kiafrica watu wanaogopa sana kuna utapeli wa kijinga sana unaendele kwenye mitandao ya kijamii kama ajira hawa watu wanachafua sana biashara za oline.