malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Ulitumia bank gani kulink na hiyo account yako?Nina PayPal acc ya US na ina privileges zote, kwa mwenye haraka ya kutoa pesa zake naweza kusaidia kwa 10% fee tu! Unarusha kwangu nakutumia kwa mobile kwenye namba yako muda huohuo!
Bank of America! Nimesema nipo USUlitumia bank gani kulink na hiyo account yako?
Wewe unayo hiyo bank ya amerika mkuu?? Manaake me ninayo pia ya canada but nashindwa kulink na bank..hebu tupe ujuzi hapoBank of America! Nimesema nipo US
InterestingUnaweza tumia PayPal ya Dubai hata mm natumia hio hio huhitaji kua na namba ya Dubai, Ila address utaweka za dubai, Kisha fungua business account sio personal kweny card tumia wise au chipper Kisha utavuta mpunga wako kirahisi kabisa
Tumia payoneer omba wakupatie federal community account. Ilink na payapal ni rahsiWewe unayo hiyo bank ya amerika mkuu?? Manaake me ninayo pia ya canada but nashindwa kulink na bank..hebu tupe ujuzi hapo
Payapl~wise account-Tz bank acc
Imefika tz tayari
Nakumbuka nilivyolambwa kichwa pindi natumia PayPal ya Kenya mpaka Leo Sina hamu nayo.
- Lakini hili itumike kwa tahadhari
- Sababu paypal account activity logs zitaonyesha uko tanzania,
- IP address yako pia ni Tanzania.
Kuna waliojaribu hadi kutumia VPN ili wasionekne kuwa wako Tanzania, lakini baada ya miamala ya kiasi kadhaa walipata shida katika kuverify account zao.
Nakumbuka nilivyolambwa kichwa pindi natumia PayPal ya Kenya mpaka Leo Sina hamu nayo.
Cha muhimu serikali iruhusu tu hayo mambo tuchangamkie fursa.
Money laundering ni kisingizio tu kutudhibiti wakati wanatufisadi Kila kukicha
Wise inakataa kufungua business account bongo
Naomba namba yako ya WhatsApp mkuu 🙏Bank of America! Nimesema nipo US
Mwanzoni paypal Ilikuwa inalink ila kwa sasa hivi asinkudanganye mtu hailink hata ufanye nini nilijidanganya nikachange bank details imegoma moka leo tangu mwezi december nilipoona uzi nikaona nisogee huenda nikaokota kitu..Wewe unayo hiyo bank ya amerika mkuu?? Manaake me ninayo pia ya canada but nashindwa kulink na bank..hebu tupe ujuzi hapo
Kaka una paypal iliyo active sasa hivi?Mwanzoni paypal Ilikuwa inalink ila kwa sasa hivi asinkudanganye mtu hailink hata ufanye nini nilijidanganya nikachange bank details imegoma moka leo tangu mwezi december nilipoona uzi nikaona nisogee huenda nikaokota kitu..
Yes ninazo mbiliKaka una paypal iliyo active sasa hivi?
Nipe namba yako basi tufanye jambo flani iviYes ninazo mbili
Chaaap sana mkuuYes ninazo mbili
Dah Jambo gani mkuu maana Kutoa namba Jf Ni tatizo sana na unaelewa vizuri siwezi kufanya hivyo bila kujua Hasa Kuna niniNipe namba yako basi tufanye jambo flani ivi
Dah Jambo gani mkuu maana Kutoa namba Jf Ni tatizo sana na unaelewa vizuri siwezi kufanya hivyo bila kujua Hasa Kuna nini
Kwaa mwenye changamoto yoyote na Paypal Aje PM....Kuna pesa yangu natakiwa kutumiwa PayPal, sasa mimi sina PayPal nataka itumwe kwako then utapata commission mkuu