Paypal Tanzania

Paypal Tanzania

Nina PayPal acc ya US na ina privileges zote, kwa mwenye haraka ya kutoa pesa zake naweza kusaidia kwa 10% fee tu! Unarusha kwangu nakutumia kwa mobile kwenye namba yako muda huohuo!
Ulitumia bank gani kulink na hiyo account yako?
 
Unaweza tumia PayPal ya Dubai hata mm natumia hio hio huhitaji kua na namba ya Dubai, Ila address utaweka za dubai, Kisha fungua business account sio personal kweny card tumia wise au chipper Kisha utavuta mpunga wako kirahisi kabisa
Interesting
Mkuu naomba kujua zaidi
 
  • Lakini hili itumike kwa tahadhari
  • Sababu paypal account activity logs zitaonyesha uko tanzania,
  • IP address yako pia ni Tanzania.

Kuna waliojaribu hadi kutumia VPN ili wasionekne kuwa wako Tanzania, lakini baada ya miamala ya kiasi kadhaa walipata shida katika kuverify account zao.
Nakumbuka nilivyolambwa kichwa pindi natumia PayPal ya Kenya mpaka Leo Sina hamu nayo.
Cha muhimu serikali iruhusu tu hayo mambo tuchangamkie fursa.
Money laundering ni kisingizio tu kutudhibiti wakati wanatufisadi Kila kukicha
 
Facts
 
Wewe unayo hiyo bank ya amerika mkuu?? Manaake me ninayo pia ya canada but nashindwa kulink na bank..hebu tupe ujuzi hapo
Mwanzoni paypal Ilikuwa inalink ila kwa sasa hivi asinkudanganye mtu hailink hata ufanye nini nilijidanganya nikachange bank details imegoma moka leo tangu mwezi december nilipoona uzi nikaona nisogee huenda nikaokota kitu..
 
Kaka una paypal iliyo active sasa hivi?
 
Kuna pesa yangu natakiwa kutumiwa PayPal, sasa mimi sina PayPal nataka itumwe kwako then utapata commission mkuu

Dah Jambo gani mkuu maana Kutoa namba Jf Ni tatizo sana na unaelewa vizuri siwezi kufanya hivyo bila kujua Hasa Kuna nini
 
Kuna pesa yangu natakiwa kutumiwa PayPal, sasa mimi sina PayPal nataka itumwe kwako then utapata commission mkuu
Kwaa mwenye changamoto yoyote na Paypal Aje PM....
 
Back
Top Bottom